Jumla ya watu waliopata virusi vya coroni nchini Kenya imefikia 1,109, baada ya wagonjwa wapya 80 kubainika na maambukizi, imeripoti Wizara ya Afya nchini humo.
Katika tangazo la kila siku kuhusu virusi vya Covid-19, Waziri wa Afya nchini humo Bwana Mutahi Kagwe amesema wagonjwa hao 80 wamebainika baada ya kupimwa kwa sampuli 3,102
Waliopona wamefikia 375 na vifo vimeendelea kusalia 50.
0 comments:
Post a Comment