Friday, 15 May 2020

Wagonjwa Wa Corona Nchini Kenya Wafika 781 Baada ya Wengine 23 Kuongezeka

...
Kenya imerekodi visa vingine 23 vya maambukizi ya virusi vya corona na kufanya jumla ya walioambukizwa kufikia 781 

Wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo Ijumaa Mei 15, katibu msimamizi wa maswala ya Afya nchini Kenya  Rashid Aman amesema maambukizi hayo mapya yametokana na sampuli 2,100 zilizofanyiwa vipimo kwa saa 24 zilizopita. 

Amesema  Vifo vimefika 45, Waliopona 284


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger