Mhe. Rais Magufuli leo tarehe 13 Machi, 2020 anazindua karakana ya matengenezo ya magari na mafunzo ya ufundi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyopo Lugalo Jijini Dar es Salaam.Friday, 13 March 2020
Live : RAIS MAGUFULI ANAZINDUA KARAKANA KUU YA JWTZ
Mhe. Rais Magufuli leo tarehe 13 Machi, 2020 anazindua karakana ya matengenezo ya magari na mafunzo ya ufundi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), iliyopo Lugalo Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment