Jeshi la Marekani limethibitisha kuwa askari wake wawili wameuawa katika shambulizi la maroketi dhidi ya kituo chake nchini Iraq.
Askari hao wawili wa Marekani na mhudumu mwingine kutoka Uingereza wameuawa katika shambulizi hilo dhidi ya kambi ya Taji, kaskazini mwa Iraq, huku wengine kadhaa wakijeruhiwa.
Kambi hiyo inayotumiwa na muungano wa nchi kadhaa za Magharibi zikiongozwa na Marekani imeshambuliwa kwa makombora 18
0 comments:
Post a Comment