Katika msimu huu wa sikukuu za Christmas na Mwaka mpya Kampuni ya simu ya Infinix imewaletea wana, Ofa ya kibabe inayotambulika kwa jina la “DECEMBER TO REMEMBER KISHUASHUA” yenye malengo ya kuwanufaisha wateja wake katika msimu huu wa sikukuu.
Ofa inakwenda hivi, kwa kila mteja atakayenunua toleo jipya la Infinix S5 moja kwa moja atakuwa ameingia katika droo ya kushindania zawadi kemkem kama vile Vacuum Cleaner, Deep fryer, Subwoofer Radio, shopping voucher, Movie Ticket na Coupon kwajili ya kupata msosi katika restaurant za kibabe na zawadi nyengine kutolewa papo hapo.
Droo kubwa kuchezeshwa kila Jumamosi katika duka lao la kisasa Infinix Smart hub Mlimani City na Ofa hii ni kwa msimu wote huu wa sikukuu.
Chakufanya fika sasa katika maduka yao yenye promotion jijini Dar ES Salaam na ujipatie simu ya kijanja Infinix S5 yenye kamera 5 upate zawadi kwajili yako na familia yako.
Kwa maelezo zaidi tembelea mitandao yao ya kijamii @infinixmobiletz.
0 comments:
Post a Comment