Saturday, 3 August 2019

Sheikh Mkuu wa Tanzania atangaza sikukuu ya Idd

...
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally ametangaza kuwa sikukuu ya Idd El-Adh'haa itakuwa siku ya Jumatatu, August 12,2019, Swala ya Eid Kitaifa itaswaliwa viwanja vya Masjid Kibadeni,Chanika,Jijini DSM ikifuatiwa na Baraza la Eid katika viwanja hivyohivyo.


Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger