Rais Magufuli leo Jumatatu August 5, 2019 anatarajiwa kufungua rasmi Maonesho ya 4 ya wiki ya viwanda ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), jijini Dar es Salaam.
Maonesho haya ni utangulizi wa mkutano wa 39 wa wakuu wa nchi zote 16 za SADC unaotarajiwa kufanyika hapa Dar es Salaam, Agosti 17-18.
Mkutano wa 39 wa SADC.— Gerson Msigwa (@MsigwaGerson) August 4, 2019
Karibuni Tanzania. pic.twitter.com/zIegiIIG3T
0 comments:
Post a Comment