Watumiaji wote wa simu za mkononi ambao hawajasajili laini zao kwa kitumia mfumo wa alama za vidole wanatakiwa kusajili upya laini zao.
Hayo yameelezwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na watoa huduma za mawasiliano ya simu ambao wateja hao wanatakiwa kufanya hivyo kuanzia Mei Mosi mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment