Wednesday, 13 March 2019

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA URUSI IKULUDAR

...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov kabla ya kuanza mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.Picha na Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Mikhail Bogdanov ambaye aliambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam. 
Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger