USHAURI
NINI CHA KUFANYA KWA FORM SIX AMBAO HAWAJAPATA VIGEZO VYA KWENDA CHUO KIKUU
2017/2018
Habari yako?
Kama tulivyokuahidi kuhusu kutoa ushauri na mwongozo kwa
wanafunzi wa kidato cha sita ambao hawakufikisa vigezo vya kwenda chuo kikuu
mwaka huu 2017.
Ili uende chuo kikuu lazima uwe na minimum points of 4(D D) AU 4(C E) katika masomo yako mawili uliyosoma.
Wanafunzi wengi mwaka hawatweza kwenda chuo kikuu hasa
sayansi kutokana na wengi kuwa na D E ambapo ukijumlisha unapata 3 pts badala
ya pts 4 zinazohitajika.
Kawaida yangu Blogger boy ni kukupa kitu roho inapenda
ili ukawaeleweshe wenzako wote.
NINI
UFANYE BAADA YA KUTOKUPATA POINTS ZA KWENDA CHUO KIKUU
Kitu cha kwanza ninachopenda kukushauri kwanza usisumbuke
kuomba chuo kikuu kama haujafikisha points kwani utapoteza pesa yako
bure,ukiangalia mwaka jana kuna watu hawakua na points za kwenda chuo kikuu
wakajaribu kuomba lakini mwisho wa siku walishindwa kwenda chuo kutokana na
kutokuchaguliwa.
Kama wewe ni mwanafunzi uliesoma sayansi advanced level
kati ya combination zifuatazo PCB,PCM,CBG,CBN,PGM
ninaimani kwamba o level ulisoma
masomo ya sayansi.
Basi kama jibu ni ndio ,cha kwanza ninachokushauri TUMIA CHETI CHAKO CHA FORM FOUR kufanya
application katika vyuo vya afya na uombe kozi za afya kama pharmacy,nursing au
clinical officer.
Unapotumia cheti cha form 4 kumbuka kuambatanisha na
RESULT SELEEP yako ya ACSEE hii itaupa uzito ktk kufanya application yako iweze
kukubaliwa kwa uharaka zaidi.
TIMIZA
NDOTO YAKO
Kutokwenda chuo kikuu kusikufanye ukate tamaa na kuamua
kuolewa au kuoa,soma kitu unachokipenda maishani kwa mfano;
“assume unataka kua mwalimu na unapenda kufundisha ualimu
nenda kasomee ualimu” hii inamaana kwamba ukifanya kitu unachokipenda maishani
lazima ufanikiwe tu,”DO YOUR PASSION”.
Watu wengi wamekuwa wakishindwa kufanikiwa maishani mwao
kutokana na kusoma kitu ilimradi upate mshahara mkubwa au uajiriwe,hii sio
sahihi hata kidogo,kwani endapo usipopata kazi itakufanya ujutie elimu yako.
Sasa hivi kuna vyuo vingi sana ambavyo vinapokea maombi
kwa wanafunzi wanaotaka kusoma diploma,ninakusihi tumia nafasi hii kabla
deadline haijafika,kwa sababu unaweza ukasema mwaka huu huendi chuo mwakani
ukakuta hata vigezo vya kwenda diploma hauna.
Kwa watu waliosoma combinations tajwa hapo juu,wanaweza
pia wakaomba vyuo kama DIT,ATC au MBEYA UNIVERSITY kozi mabalimbali ambazo ni
nzuri sana.
Mfano;wewe malengo yako yalikuwa kusomea CIVIL
ENGINEERING chuo kikuu lakini baada ya matokeo umekosa points za kukufanya
kwenda chuo kikuu,usikate tama omba diploma ya civil engineering chuo cha
DIT,MBEYA AU ATC,one day utafikia malengo yako.
KOZI
GANI NZURI UOMBE?
(i)Ordinary Diploma in Civil Engineering
(ii)Ordinary Diploma in Computer
Engineering
(iii)Ordinary Diploma in Electrical
Engineering
(iv)Ordinary Diploma in Electronics
&Telecommunications Engineering
(v)Ordinary Diploma in Mechanical
Engineering
(vi)Ordinary Diploma in Mining Engineering
(vii)Ordinary Diploma in Science
&Laboratory Technology (Main Campus)
(viii)Ordinary Diploma in Science
&Laboratory Technology (Mwanza Campus)
(ix)Ordinary Diploma in Biomedical
Equipment Engineering
(x)Ordinary Diploma in Information
Technology
(xi)Ordinary Diploma in Multimediaand
Film Technology
(xii)Ordinary Diploma in
Communication Systems Technology
(xiii)Ordinary Diploma in Renewable
Energy Technology
(xiv)Ordinary Diploma in Food Science
and Technology
(xv)Ordinary Diploma in Biotechnology
(xvi) Water Supply and Sanitation Engineering
(xvii)Hydrology and meterology
(xviii) Hydrogeology and Water Well Drilling
(xix) Irrigation Engineering
(xx) Water Quality Laboratory Technology
(xviii) Hydrogeology and Water Well Drilling
(xix) Irrigation Engineering
(xx) Water Quality Laboratory Technology
(xxi) Diploma
in Veterinary Laboratory Technology DVLT
(xxii) Veterinary Laboratory technology
(xxiii) Animal Health and Production
(xxiv) Diploma in Range Management and Tsetse Control-DRMTC
(xxii) Veterinary Laboratory technology
(xxiii) Animal Health and Production
(xxiv) Diploma in Range Management and Tsetse Control-DRMTC
Kozi nyingi
tajwa hapo juu zinahitaji sifa ndogo sana,tafadhali nakuomba usikate tama mda
bado unao.
KUHUSU MKOPO
Pia baadhi ya
kozi hapo juu watakusomesha bure endapo utachaguliwa ,kozi wanazotoa mikopo ni
irrigation engineering-diploma ambayo ipo chuo cha maji.
ADA YA APPLICATION
Kila chuo kina
da yake lakini vingi ada yake ni tshs 20000 hadi 30000 amabyo ninaimnai unweza
ukaafford.
MWISHO KABISA
NINAKARIBISHA MASWALI NA MAONI
Wako;
Innocent(blogger boy)
MASWAYETU BLOG DIRECTOR
0 comments:
Post a Comment