Serikali ya wanafunzi SUA inatangaza kifo cha mwanafunzi anaitwa kwa jina la catherine aliekuwa nasoma ktk kampasi ya MAZIMBU ,akisomea kozi ya Bsc.AEA mwaka wa kwanza.
Maswayetu blog inatoa pole kwa familia na wanajumuiya yote ya SUA,Tunawahakikishia ushirikiano wa kutosha.
0 comments:
Post a Comment