Thursday 29 September 2016

TAARIFA MUHIMU KUTOKA BODI YA MIKOPO KUHUSU UHAKIKI WA WANAFUNZI UNAFANYIKA UDSM KUANZIA TAREHE 27-29 SEPTEMBA, 2016

...

Image result for HESLB.GO.TZ
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inawajulisha kuwa kutakuwa na zoezi la kuhakiki wanafunzi wa vyuo 31 ambao awali walihakikiwa na baadhi yao hawakuhakikiwa lakini vyuo vinawatambua kama wanafunzi wao halali.
Uhakiki utafanyika kuanzia Jumanne tarehe 27 Septemba hadi Alhamisi tarehe 29 Septemba, 2016. Katika siku hizo tatu; uhakiki utafanyika katika Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam, eneo la Yombo kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi saa 11.00 jioni.
Wanafunzi husika wanashauriwa wasipoteze fursa hii ya kuhakikiwa.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger