Mkali wa ‘Latifa’, Si uliniambia’ Mbwana
Mohamed aka MB Dog time hii amefunguka na kuelezea sababu zilizopelekea
kuwa kimya kwa muda mrefu kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva
Akizungumza na millardayo.com July 2,2015 alisema…’Kwanza
nilikuwa nimetoa kwenye kampuni ambayo ilikuwa ikinisaidia halafu then
nikawa mwenyewe so baada ya kuona mambo yamekuwa mazito nikatoa kidogo
nikaenda kukaa sana Ujerumani kama miaka miwili nikaja nikarudi
Uingereza hapo katikati zile safari baada ya kuona mambo yamekuwa mazito
ndio sababu ya kukuwa kimya.
Sijawahi
kupiga ngoma ikawa imeenda tofauti kila niliyowahi kuupiga ulikuwa
unaenda na damu zao halafu ilikuwa zinafanana na wao kwa hiyo ngoma
zangu zote zilikuwa na manufaa na zilikuwa na faida kwasbabu ndio
zimenifanya mpaka leo nipo nakutana na watu tofauti wananiamia na
heshima kubwa kupitia hizo ngoma
Mimi
niko chini ya Qs Mhonda J Entertainment kampuni kubwa sana ambayo
kwasasa ndio inasimamia kazi zangu kiufupi niwahabarishe mashabiki wangu
kuna kazi ambazo zinashaanza kufanyika kama kuna video nimefanya Afrika
Kusini chini ya Qs Mhonda J Entrtainment, muziki wa sasa hivi umetanuka
kuna social Network ukiangalia zamani kulikuwa hakuna social network
sisi zamani ma Dj walikuwa wanakuja ma studio kuangalia ngoma
zetu..’alisema.

0 comments:
Post a Comment