Kata kiu yako kwa kununua
nakala halisi ya movie ya MAPENZI YAMEROGWA iko madukani kote Tanzania
nzima….unataka kuona ubabe wa Mboto ulivyomtoa jasho wema
sepetu??unataka kuona casting director Aunty Ezekile alivyofanikisha
kazi yake??basi usichoke kuangalia mirindimo ya Riyama na Faudhia walivyomtoa ndani Hemedy
PHD bila kuaga baada ya kumfukuza mkewe fontana…..utakipenda kipondo
alichopewa Fontana na Wema Sepetu akishirikiana na mumewe Treze ni
balaaaa humo ndani……
0 comments:
Post a Comment