Tuesday 4 April 2023
WIZARA YA ARDHI YAFUTURISHA WATUMISHI WAKE
AUAWA KWA KUPIGWA JIWE AKINYWA POMBE BAA MJINI SHINYANGA, MWINGINE AKIIBA MAHINDI SHAMBANI
DITOPILE AGAWA FUTARI KONDOA, ASISITIZA KUIOMBEA NCHI NA KUMUOMBEA RAIS SAMIA
Monday 3 April 2023
ALIYESHINDA TSH MIL 54 KASINO YA MTANDAONI ATOA SIRI
Safari moja huanzisha nyingine ni usemi ambao unafanya kazi haswa kwa majokeri ambao huishi kwa kutegemea ubashiri wa Soka unaopewa odds kubwa, au Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet yenye Sloti nyingi pendwa na rahisi kushinda kama vile Aviator, Poker na Titan Roulette.
Moja ya mtu ambaye atakua ni shahidi kwenye hili ni Mwarabu mkazi wa Dar Es Salaam ambaye Meridianbet wamemtanganza kuwa mshindi mkubwa wa Tsh 54,700,000/= (Milioni Hamsini na Nne na Laki Saba) ambapo alicheza dau dogo la Elfu Hamsini tu (50,000/=) kupitia kasino ya mtandaoni hii ni bahati iliyoje.
Gwiji huyu ambaye majina yake kamili yamehifadhiwa alicheza sloti ya 100 Burning Hot inayopatikana kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, sloti hii inalipa sana kwani ushindi ni rahisi kuupata kwa dau dogo tu la kuanzia Tsh 100/=
Alipoulizwa kwa njia ya simu kuhusu ushindi huo alijibu “Najisikia furaha sana mwanzoi nilikua nikicheza nakula pesa ndogo ndogo hatimaye leo nimepiga mkwanja huu wa Mamilioni. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet haijawahi niangusha hata siku moja ndiyo maana nacheza kila siku”
“Naipenda sloti ya 100 Burning Hot kwa sababu inanipa sloti nyingi za kucheza na zote ni rahisi” Mshindi wa Milioni 54
Sloti ya 100 Burning Hot ni miongoni mwa michezo pendwa ya kasino inayotoa mkwanja muda wowote, lakini pia sloti nyingine rahisi kushinda ni Aviator, Poker na Titan Roulette yote unaipata kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kupitia www.meridianbet.co.tz
Je Unahitaji kufahamu Sloti hii Inakuaje?
100 Burning Hot ni sloti rahisi sana kuicheza ina mistari 5 ya ushindi huku kukiwa na mingine 100 ya ziada, sloti hii inakuja na machaguo mengi ya ushindi kama vile namba 7, alama ya dola, na alama ya ushindi mkubwa kabisa ya “Wild’ hiyo inakupa bonasi ya kushinda mara nyingi. Cheza sasa kwa dau dogo la kuanzia Tsh 100/= kubwa Zaidi Sloti hii inakupatia mizunguko 100 ya bure.
LEMBELI ASHIRIKI SHEREHE YA MWANZILISHI WA TAASISI YA JANE GOODALL NCHINI MAREKANI
Sunday 2 April 2023
JAMES LEMBELI AENDA NEW YORK, MAREKANI
Akiwa mjini,humo Lembeli alitarajiwa kuhudhuria sherehe maalum ya kutimiza miaka 89, muasisi wa taasisi ya Jane Goodall ambayo chimbuko lake ni Hifadhi ya Taifa ya Gombe,Kigoma ambako alifika mwaka 1960 kuanzia kufanya utafiti wa mnyama aina ya sokwe.
Utafiti huo wa Sokwe,umedumu Kwa zaidi ya miaka 60 na unaendeshwa na taasisi hiyo ya Jane Goodall ambao hivi Sasa unaendeshwa na watanzania.
Jane Goodall,raia wa Uingereza pia ni Balozi wa heshima wa Umoja wa Mataifa wa Amani.
Sherehe hiyo,ilihudhuriwa na wanasayansi na viongozi mashuhuri mbalimbali wa nchini Marekani.
Aidha Lembeli atahudhuria kikao cha Bodi ya Wakurungenzi ya Jane Goodall-Marekani ambako yeye ni mjumbe pekee toka Afrika.
Taasisi ya Jane Goodall ambayo Ina ofisi katika nchi zaidi 100 ulimwenguni inajihusisha hasa na utafiti na uhifadhi wa Sokwe barani Afrika na jamii ya wanyama aina ya nyani.
Nchini Tanzania,mbali ya utafiti katika Hifadhi ya Gombe,taasisi hiyo inaendesha miradi mbalimbali ya uhifadhi wa mazingira hasa misitu ya asili sambamba na miradi ya afya na maendeleo ya jamii ktk mikoa ya Kigoma na Katavi.
Lembeli,ambaye ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo hapa nchini aliwahi pia kuwa Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira ambaye ripoti yake juu ya madudu yaliyojitokeza katika utekelezaji wa operesheni tokomeza ilipelekea mawaziri watatu kutumbuliwa na mmoja kujiuzulu.
Lembeli anatarajiwa kurudi nchini tarehe 13.4. 2023.