Wednesday 14 June 2017

BREAKING NEWS: TAARIFA KWA UMMA JKT IMEONGEZA ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA MEI 2017 KWA AJILI YA KUHUDHURIA MAFUNZO YA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2017

TAARIFA KWA UMMA

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), linapenda kuutaarifu umma kuwa limeongeza majina ya vijana waliohitimu elimu ya kidato cha sita mwezi Mei 2017 kujiunga na mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria.

Vijana hao wanatakiwa kuripoti kwenye makambi ya JKT waliyopangiwa kuanzia tarehe 13 Juni 2017 hadi tarehe 20 Juni 2017.

Mkuu wa JKT, kwa mara nyingine tena, anawakaribisha vijana wote waliochaguliwa ili waweze kujiunga na vijana wenzao katika kujifunza uzalendo, umoja wa kitaifa, stadi za kazi, stadi za maisha na utayari wa kulijenga na kulitumikia Taifa letu.

Orodha kamili ya majina ya vijana hao walioongezwa, maeneo ya makambi ya JKT waliyopangiwa na vifaa wanavyotakiwa kwenda navyo inapatikana katika tovuti ya JKT ambayo ni www.jkt.go.tz . Usomapo tangazo hili mtaarifu na mwenzio.


BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOONGEZEWA NA MAKAMBI WALIYOPANGIWA

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano,
Makao Makuu ya JKT,
Tarehe 13 Juni 2017


Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO JUNE TAREHE 14.6.2017


Share:

Friday 9 June 2017

BREAKING NEWS:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2017

 Kama utahitaji kuangaliziwa jina lako kwa "usahihi" na "kasi ya ajabu" (ambapo utajibiwa ndani ya dk 1 tu) kama umechaguliwa form v, tafadhali fanya yafuatayo;

1.TUMA EXAM NAMBA YAKO YA FORM 4 NA MWAKA
   ULIOMALIZA  MFANO:S3409.0012.2013-form v  KWENDA
   NAMBA
0717647448

2.HUDUMA HII UTATOZWA TSHS 1000 TU(KWA AJILI YA
    KUISUPORT MASWAYETU   BLOG)


3.TUMA PESA KWENDA 0717647448-MPESA
                                               0717647448-TIGO PESA


Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Mwaka 2017


TAARIFA KWA UMMA


Tafadhali bofya chini Kujua Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha 5 na Vyuo vya Ufundi Mwaka 2017.

Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha 5 na Vyuo vya Ufundi awamu ya Kwanza 2017

Watakaochaguliwa Kujiunga Kidato cha 5 na Vyuo vya Ufundi awamu ya Pili 2017


UKISHINDWA KUYAONA,INGIA HAPA KUYAONA>>>>>>>>>>>>>>>http://nafasi-kazi.blogspot.com/
Share:

Thursday 8 June 2017

breaking news:AJALI BASI LA COASTLINE LINALOSAFIRI KUTOKA MWANZA KWENDA MOSHI

BREAKING NEWS.

Basi la kampuni ya Coastline lililokuwa linatoka Mwanza kuja Moshi via Arusha limepata ajali mbaya maeneo ya King'ori- Kiwandani mida hii ya saa mbili usiku. Idadi ya majeruhi ni kubwa na vifo wachache. Kama una ndugu aliyekuwa route hiyo leo jaribu kuwasiliana naye.
Vilevile kuna abiria waliokuwa wamefaulishwa kutoka kwenye mabasi mengine.
TAFADHALI TOA TAARIFA KWA WENGINE.
MUNGU TUEPUSHE NA HIZI AJALI.
Share:

Tuesday 6 June 2017

MAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNE TAREHE 6.6.2017

Share:

Monday 5 June 2017

MAGAZETI YA LEO JUMATATU JUNE 5 2017

Share:

Sunday 4 June 2017

Magazeti ya Leo Jumapili ya June 4,2017


Share:

Saturday 3 June 2017

MATOKEO UEFA 2017:REAL MADRID VS JUVENTUS,MADRID KASHINDA 4-1

Sergio Ramo’s children join him on the pitch to celebrate Real Madrid’s victory.Klabu ya madrid ikiwa chini ya kocha zidane imefanikiwa kuchukua ubingwa wa UEFA baada ya kuifunga klabu ya juventus goli 4-1.


HIYO HAPO SUMMARY YA MCHEZO,

Juventus 1 - 4 Real Madrid

FT
Champions League
Principality Stadium

Juventus 1

Home team scorers
Mario Mandzukic 27

Real Madrid 4

Away team scorers
Cristiano Ronaldo 20
Carlos Casemiro 61
Cristiano Ronaldo 64
Marco Asensio 90
Share:

Sunday 28 May 2017

Rais Magufuli amteua Kamishna Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania(IGP)

Rais Magufuli amemteua Kamishna wa Polisi Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu atapangiwa kazi nyingine.

IMG_2052.JPG
Share:

Saturday 27 May 2017

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MAY TAREHE 27.5.2017


Share:

Wednesday 24 May 2017

APPLICATION FOR DIPLOMA AND CERTIFICATE IN HEALTH PROGRAMMES OFFERED BY GOVERNMENT HEALTH TRAINING INSTITUTIONS 2017/18


Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children (MoHCDGEC)
PUBLIC NOTICE
APPLICANTION FOR DIPLOMA AND CERTIFICATE IN HEALTH PROGRAMMES OFFERED BY GOVERNMENT HEALTH TRAINING INSTITUTIONS
Share:

MPYA KUTOKA TCU:TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WA FORM SIX WALIOMALIZA MWAKA HUU NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA KUHUSU APPLICATION ZA DIGRII MWAKA WA MASOMO 2017/2018

Tokeo la picha la TCU.GO.TZ
Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WALIOPANGWA JKT 2017



TAARIFA KWA UMMA

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Sita kwa mwaka 2017, kutoka Shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria.
Share:

Breaking News!! RAIS MAGUFULI AMTAKA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF MUHONGO AJIUZULU


Rais John Magufuli amemtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuachia madaraka kwa kushindwa kusimamia suala la mchanga wa dhahabu unaosafirishwa kwenye makontena.
Share:

TAARIFA KUHUSU ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WANAOJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU 2017

Wanafunzi wa kidato cha sita waliohitimu mwaka huu May 2017 takribani 14,747 sawa na asilimia 23.2%, wamepangiwa katika vituo mbalimbali vya Jeshi kati ya wahitimu 63,623, wanatakiwa kufika kambini kuanzia 25-30 May.
Taarifa imetolewa na Mkuu wa JKT
Akiongea na ITV amesema Orodha ya waliochaguliwa katika kambi mbalimbali yanapatikana katika tovuti yao ya JKT. www.jkt.go.tz

Source: ITV (Habari)

[​IMG]

Ni hivi Majina yametoka na leo nlimsikia msemaji pale JKT akiongea Kwenye Habari ITV, na idadi ya wanafunzi waliochaguliwa imepungua sana ndo maana leo Mbunge wa Newala akauliza Swali kwa Waziri wa Ulinzi ni kwanini Idadi hiyo imeshuka sana?
[​IMG][​IMG][​IMG]
Share:

Taarifa ya TANESCO kuhusu katizo la umeme Mikoa ya Kinondoni Kaskazini, Ilala na Temeke.


Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger