Wednesday 26 October 2016

MPYA:HAYA HAPA MAJINA 63,773 YA WANAFUNZI WOTE (BATCH ZOTE) WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA VYUO VIKUU MBALIMBALI TANZANIA 2016/2017



Image result for TCU.GO.TZ
Share:

UJAMBAZI WAKUTISHA DAR,WAFUNGA MTAA KWA SAA MBILI


NI ujambazi wa kutisha. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kuibuka na wizi unaofanywa na majambazi katika maeneo mbalimbali nchini.Hatua hiyo inatokana na majambazi hao kuibuka na mbinu mpya kila kukicha katika matukio mbalimbali ambayo sasa yamekuwa yakishika kasi.
Share:

Breaking news:BODI YA MIKOPO YATANGAZA TAARIFA KUHUSU UTOAJI MIKOPO 2016/2017,WALIOPATA NI 20183 KATI YA 88,163 WALIOOMBA

Image result for heslb.go.tz

Baada ya kukamilisha zoezi la Uchambuzi wa maombi ya Mikopo 88,163 yaliyopokelewa hadi kufikia tarehe 11 Agosti, 2016. Jumla ya Wanafunzi wapya 20,183 wamepangiwa Mikopo. Upangaji huu umezingatia vigezo vilivyomo katika mwongozo wa  utoaji wa mikopo uliopitishwa na Bodi ya wakurgezi na kuidhinishwa na wizaya ya elimu sayannsi na teknoloji. Vigezo hivyo ni pamoja na:
 I. Vipaumbele vya  kitaifa vinavyoendana na Mpango  wa Maendeleo  wa Taifa wa Miaka mitano, Dira ya Taifa ya  Maendeleo 2025 na Mafunzo ambayo yatazalisha wataalamu wanaokidhi mahitaji  ya kitaifa katika fani za kipaumbele ambazo ni;
• Fani za Sayansi za Tiba na Afya,
• Ualimu wa Sayansi na Hisabati,
• Uhandisi wa  Viwanda, Kilimo, Mifugo, Mafuta na Gesi Asilia,
• Sayansi Asilia, na
• Sayansi za Ardhi, Usanifu Majengo na Miundombinu.

i. Uhitaji wa waombaji hususani wenye mahitaji  maalum kama vile ulemavu na uyatima
ii. Uhitaji wa waombaji wanaotoka katika familia zenye hali duni ya kimaisha
o Wadahiliwa yatima waliopata mkopo                                                 873
o Wadahiliwa wenye ulemavu wa  viungo                                             118
o Wadahiliwa  wahitaji wenye  mzazi mmoja                                      3,448
o Wadahiliwa wahitaji waliofadhiliwa na taasisis mbali mbali                     87
o Wadahiliwa wahitaji wanaosoma  kozi  za kipaumbele                      6,159
o Wadahiliwa wahitaji wanaosoma kozi zingine                                  9,867
Jumla                                                                                             20,183

Kiasi cha Fedha zinazohitajika
Bajeti iliyoidhinishwa kwa ajili ya ukopeshaji kwa mwaka wa fedha wa 2016/17 ni shilingi bilioni 483, kwa ajili ya jumla ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza wapatao 25,717, na wanaoendelea na masomo wapatao 93, 295.

Hatua zinazofuata
I. Wanufaika wote wanaopungukiwa na sifa watachunguzwa kwa ajili ya kurekebishiwa au kuondolewa katika unufaika wa mkopo
II. Waombaji waliwasilisha taarifa zenye upungufu, taarifa zao zitahakikiwa, na wakibainika kuwasilisha taarifa za uongo watachukuiwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kufutiwa mikopo yao
III. Wanufaika wote watatakiwa kuhuisha taarifa kwa kujaza dodoso. Taarifa za ziada za kiuchumi za wazazi au walezi wao zitatumika kutanua uhalisia. Wale watakaokutwa na hadhi zisizo stahili, watapoteza sifa za kuendelea kupata mikopo na kulazimika kurejesha kiasi watakachokuwa wamepokea tayari.

IMETOLEWA NA:
MKURUGENZI MTENDAJI
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
Share:

SEKOMU: Round 4 admitted applicants to join bachelor programmes 2016/2017


   
 
Share:

TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA LIST OF STUDENTS ADMITTED BY TCU TO JOIN TUMA FOR ACADEMIC YEAR 2016/2017 (3rd Selection)


Image
TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA
LIST OF STUDENTS ADMITTED BY TCU TO JOIN TUMA FOR
ACADEMIC YEAR 2016/2017 (3rd Selection)
 
Share:

Additional Candidates selected for admission into MUHAS Undergraduate Programmes 2016/2017


 Image

Additional Candidates selected for admission into MUHAS Undergraduate Programmes

Share:

SUA: List of first year students who have been Re-allocated to Bsc.Education 2016/2017


 
The following students have been re-allocated to BSc. Education, the program for which they were earlier selected by TCU. Those who have been given accommodation at the Main Campus will need to report to SUASAB in order to be moved to new accommodation at Solomon Mahlangu Campus (SMC).
 <<Read More >>
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMATANO OCTOBER 26 2016

Share:

Tuesday 25 October 2016

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA ST.JOSEPH BOKO CAMPUS 2016/2017

 Image result for SJUIT.AC.TZ
Share:

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO CHUO KIKUU UDSM FIRST YEARS BATCH 2 2016/2017

 

KUONA MAJINA <<BONYEZA HAPA>>
Share:

HAYA HAPA MAJINA YA MKOPO CHUO KIKUU UDSM KWA WANAFUNZI CONTINUING WOTE 2016/2017

Share:

HAYA HAPA MAJINA YOTE YA WANAFUNZI FIRST YEARS WALIOPATA MKOPO CHUO KIKUU UDSM 2016/2017

 Image result for UDSM.AC.TZ
TAARIFA KWA UMMA

Wizara ya Mikopo Chuo kikuu Dar es salaam inawatangazia wanafunzi wote na kuwapa mrejesho juu ya masuala ya mkopo kwa wanafunzi wanaoendelea na mwaka wa kwanza.

Share:

4th Batch of selected Students to join Degree Programs at SJUT


Batch  4 of selected Students to join Degree Programs at SJUT
Share:

University of Arusha: Fourth Selection from TCU


FOurth Selection from TCU
       <<CLICK HERE>>
Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA MARIAN UNIVERSITY 4TH ROUND 2016/2017

 
Share:

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU UDOM BATCH 2 &3 2016/2017

 
Share:

VIDEO:Majambazi Wenye Pikipiki Wapora $40,000 Ofisini Kwa Mohamed Ishaq (Scandinavia)


Jamaa katika Nissan kaibiwa usd 40,000 na majambazi ofisini kwa Mohamed Ishaq (scandinavia)



Majambazi walimfuatilia tokea benki.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger