Friday 26 August 2016

UFAFANUZI KUHUSU MADAI YA WASIOKOPA KUDAIWA MIKOPO

Bodi ya Mikopo inapenda kuufahamisha Umma kuwa ‘database’ yake ya wanufaika wa mikopo ina taarifa zote muhimu zilizo sahihi.
1.0 UTANGULIZI
Kumekuwepo na taarifa zilizotolewa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, hasa gazeti la Jamboleo toleo namba 2541 la 23 Agosti, 2016 kuhusu Bodi ya Mikopo kuwadai wasionufaika na mikopo. Taarifa hizi zinalenga kuleta hofu na mkanganyiko usiokuwa wa lazima kwa wadau. Kufuatia hatua hiyo Bodi ya Mikopo inapenda kutoa ufafanuzi wa suala hili kama ifuatavyo:-
2.0 MADAI KUHUSU KUDAIWA MIKOPO KWA WALE WASIONUFAIKA
Bodi ya Mikopo inapenda kuufahamisha Umma kuwa ‘database’ yake ya wanufaika wa mikopo ina taarifa zote muhimu zilizo sahihi. Hii inatokana na utunzaji mzuri wa kumbukumbu za ukopeshaji kuanzia hatua ya utoaji mikopo (loan allocation and disbursement) hadi urejeshaji wake (loan repayment).  Kutokana hamasa na elimu inayotolewa, kumekuwepo na mwitikio mkubwa wa wanufaika wa mikopo na waajiri wao kujitokeza na kuanza kurejesha mikopo. Hivyo, katika utekelezaji wa jukumu hilo, tumebaini kuwepo kwa malalamiko kutoka kwa baadhi ya wadaiwa kwamba ama hawakuwahi kukopa au hawajawahi kufikia kiwango cha elimu ya juu.
Hadi sasa, imebainika kuwepo kwa baadhi ya wanufaika ambao wanadai hawakujua iwapo fedha walizopatiwa na serikali wakati huo zilikuwa za mkopo. Pia kuna wachache ambao vyeti vyao vilitumiwa na ndugu zao kwa ajili ya masomo ya elimu ya juu. Katika hali hii, mdaiwa atalazimika kumtaja mtu halisi anayepaswa kukatwa deni hilo ili Bodi iweze kusitisha makato hayo kwake.
Ili kupata ufumbuzi wa malalamiko hayo, Bodi inawataka walalamikaji kuzingatia yafuatayo:
2.1 Kwa mtu anayedai kwamba hajasoma elimu ya juu kwa ufadhili wa serikali au Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu; mtu huyu awasilishe vielelezo vinavyodhihirisha kuwa hakusomeshwa kwa ufadhili wa serikali.
2.2 Kwa mtu anayedai amekatwa mshahara ingawa hajawahi kufikia kiwango cha elimu ya juu; mtu huyo anapaswa kuwasilisha vielelezo vya kiwango cha elimu yake.
2.3 Iwapo kuna mnufaika wa mkopo anadai amekatwa zaidi ya kiwango cha mkopo anaodaiwa; mnufaika huyo anapaswa kuwasilisha vielelezo vinavyothibitisha kumaliza kurejesha deni lake. Itakapothibitika kuwa kuna makato zaidi yalifanyika, basi kiasi kilichozidi kitarejeshwa kwa mhusika.
3.0 HITIMISHO
Bodi inapenda kuwahakikishia wadau wake kuwa imetunza vizuri taarifa zote muhimu za wanufaika wa mikopo ambazo ndizo zinazotumika kwenye zoezi la urejeshaji wa mikopo.  Kasoro ndogo ndogo zinazojitokeza zinatatuliwa kwa kufanya rejea kwenye kumbukumbu zilizopo.
Aidha, Bodi inaendelea kuwahimiza wanufaika wote wa mikopo ambao hawajaanza kurejesha mikopo yao kuhakikisha wanawasilisha taaifa zao ofisi za Bodi au wanajaza taarifa zao kweye fomu ‘Loan Inquiry Form’ iliyopo kwenye tovuti ya Bodi na kuituma kwa anuani ya barua pepe info@heslb.go.tz ili kila mmoja ajulishwe deni lake na kuanza kurejesha.
Kwa mnufaika anayetaka kuanza kurejesha mkopo wake baada ya kuwa amepata taarifa ya deni lake; aweke fedha kwenye akaunti za Benki zifuatazo na kisha kuwasilisha hati ya malipo:
A/C No. 2011100205 – NMB
A/C No. 01J1028467503 – CRDB
A/C No. CCA0240000032 – TPB
Share:

MPYA:VIONGOZI WA CHADEMA WILAYA YA MASWA-SIMIYU WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI


Jeshi la polisi wilaya ya Maswa linawashikilia viongozi 17 wa chadema wilayani humo walikutwa wakiwa katika ofisi yao ya wilaya wakiendelea na shughuli zao.Waliokamatwa miongoni mwao ni Mkt wa Chadema wilaya,Peter Shiyo,Katibu Frola Msuka,Katibu na Vijana wilaya,Matondo wengineo.Sababu za kukamatwa kwao zitatolewa baadaye baada ya jeshi hilo kutoa taarifa kamili.

Share:

HAYA HAPA MAJINA NA JOINING INSTRUCTION ZA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO CHA NIT 2016/2017

Share:

HIZI HAPA JOINING INSTRUCTION ZOTE MPYA ZA VYUO VYA UALIMU KAMA TABORA,BUNDA,MPWAPWA,MARANGU,BUSTANI,BUTIMBA,DAKAWA,ILONGA,KABANGA,KASULU,KINAMPANDA,KOROGWE,MAMIRE,MHONDA,MONDULI,MOROGORO,MPUGUSO,MURUTUNGURU,NDALA,SHINYANGA,SONGEA,TANDALA,TARIME,TUKUYU 2016/2017

Joining Instructions

Image result for serikali ya tanzania


BUNDA TC BUNDA TC

hot!
Date added: 08/20/2016
Date modified: 08/20/2016
Filesize: 829.38 kB
Downloads: 2143

BUSTANI TC BUSTANI TC

hot!
Date added: 08/20/2016
Date modified: 08/20/2016
Filesize: 194.88 kB
Downloads: 979

BUTIMBA TC BUTIMBA TC

hot!
Date added: 08/20/2016
Date modified: 08/20/2016
Filesize: 210.87 kB
Downloads: 5186

DAKAWA TC DAKAWA TC

hot!
Date added: 08/20/2016
Date modified: 08/20/2016
Filesize: 158.46 kB
Downloads: 712

ILONGA TC ILONGA TC

hot!
Date added: 08/20/2016
Date modified: 08/20/2016
Filesize: 1.47 MB
Downloads: 752

KABANGA TC KABANGA TC

new! & hot!
Date added: 08/23/2016
Date modified: 08/23/2016
Filesize: 139.37 kB
Downloads: 234

KASULU TC KASULU TC

new! & hot!
Date added: 08/24/2016
Date modified: 08/24/2016
Filesize: 292.75 kB
Downloads: 1070

KINAMPANDA TC KINAMPANDA TC

hot!
Date added: 08/20/2016
Date modified: 08/20/2016
Filesize: 338.97 kB
Downloads: 499

KLERUU TC KLERUU TC

new! & hot!
Date added: 08/23/2016
Date modified: 08/23/2016
Filesize: 269.39 kB
Downloads: 318

KOROGWE TC KOROGWE TC

new! & hot!
Date added: 08/23/2016
Date modified: 08/23/2016
Filesize: 779.84 kB
Downloads: 2110

MAMIRE TC

new! & hot!
Date added: 08/23/2016
Date modified: 08/23/2016
Filesize: 1.76 MB
Downloads: 188

MARANGU TC MARANGU TC

hot!
Date added: 08/20/2016
Date modified: 08/20/2016
Filesize: 515.51 kB
Downloads: 1927

MHONDA TC MHONDA TC

hot!
Date added: 08/20/2016
Date modified: 08/20/2016
Filesize: 119.08 kB
Downloads: 357

MONDULI TC MONDULI TC

hot!
Date added: 08/20/2016
Date modified: 08/20/2016
Filesize: 300.24 kB
Downloads: 1016

MOROGORO TC MOROGORO TC

hot!
Date added: 08/20/2016
Date modified: 08/20/2016
Filesize: 1.22 MB
Downloads: 8767

MPUGUSO TC MPUGUSO TC

new! & hot!
Date added: 08/23/2016
Date modified: 08/23/2016
Filesize: 557.33 kB
Downloads: 133

MPWAPWA TC MPWAPWA TC

hot!
Date added: 08/20/2016
Date modified: 08/20/2016
Filesize: 2.18 MB
Downloads: 6475

MPWAPWA TC MPWAPWA TC

new! & hot!
Date added: 08/23/2016
Date modified: 08/23/2016
Filesize: 2.18 MB
Downloads: 460

MURUTUNGURU TC MURUTUNGURU TC

hot!
Date added: 08/20/2016
Date modified: 08/20/2016
Filesize: 2.44 MB
Downloads: 609

MURUTUNGURU TC MURUTUNGURU TC

new!
Date added: 08/23/2016
Date modified: 08/23/2016
Filesize: 2.44 MB
Downloads: 49

NDALA TC

new! & hot!
Date added: 08/23/2016
Date modified: 08/23/2016
Filesize: 5.03 MB
Downloads: 120

SHINYANGA TC SHINYANGA TC

new! & hot!
Date added: 08/23/2016
Date modified: 08/23/2016
Filesize: 402.85 kB
Downloads: 114

SONGEA TC SONGEA TC

hot!
Date added: 08/20/2016
Date modified: 08/20/2016
Filesize: 2 MB
Downloads: 4867

TABORA TC TABORA TC

new! & hot!
Date added: 08/23/2016
Date modified: 08/23/2016
Filesize: 4.23 MB
Downloads: 1132

TANDALA TC TANDALA TC

new!
Date added: 08/23/2016
Date modified: 08/23/2016
Filesize: 669.72 kB
Downloads: 93

TARIME TC TARIME TC

hot!
Date added: 08/20/2016
Date modified: 08/20/2016
Filesize: 216.12 kB
Downloads: 425

TUKUYU TC TUKUYU TC

hot!
Date added: 08/20/2016
Date modified: 08/20/2016
Filesize: 1.37 MB
Downloads: 4032
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger