Saturday 4 July 2015

Kisa mchumba, Ray C…

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
ray-c-6 
Staa wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’.
MWANDISHI WETU
Share:

SLIM AELEZA UGUMU WA MWEZI MTUKUFU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

 SlimOmary 
Staa wa filamu Bongo, Slim Omary.
Share:

FAMILIA YA WAZIRI MKOSI TUPU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

IMG_2522 Mussa Ntimizi.
Share:

LUNGI AKOMBWA VITU VYA NDANI!

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
LUNGIzMsanii wa Bogo Movie, Lungi Maulanga.
Brighton Masalu
Share:

MAAJABU AJALI YA BASI KUGONGA TRENI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOYMAAJABU AJALI YA BASI KUGONGA TRENI
NI maajabu ya Mungu! Nyuma ya tukio la ajali ya
Share:

DIAMOND ASALIMU AMRI KWA BABA YAKE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


DIAMOND ASALIMU AMRI KWA BABA YAKE Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Waandishi Wetu
Share:

news:JK: WAFADHILI WAMEIPA KISOGO SEKTA YA MAJI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
JK: WAFADHILI WAMEIPA KISOGO SEKTA YA MAJI TANZANIA imefanikiwa katika sekta mbalimbali kutokana na misaada kutoka Benki ya Dunia, lakini haijafanikiwa katika sekta ya maji kutokana na sekta hiyo kutopewa kipaumbele na wafadhili. Hayo yalisemwa jana na Rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi wa chapisho kuhusu Maadhimisho ya Miaka 50 ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Benki ya Dunia. Alisema ushirikiano wa Tanzania na Benki ya Dunia, umefanya kazi kwa miaka 50 ambayo ni ya mafanikio, lakini maji bado yamekuwa changamoto katika maeneo mbalimbali ikiwemo vijijini na mijini. Aliongeza kuwa ni vyema wafadhili ikiwemo benki ya dunia kusaidia sekta ya maji kutokana na maji kuwa hitaji muhimu na kubwa. Alisema wananchi wengi wamekuwa wakihangaika na kuacha kufanya mambo ya maendeleo matokeo yake wanahangaikia maji, hivyo ni vyema sekta ya maji isaidiwe. “Ukosefu wa maji unasababisha mambo mengi yakiwemo magonjwa na kama jamii itakosa maji basi magonjwa mengi yataibuka ikiwemo vichocho, wanawake wengi wanateseka kutokana na kutafuta maji umbali mrefu,” alisema Kikwete. Pia alisema kwa upande wa sekta ya kilimo Tanzania imeweza kufanikiwa japo bado kuna changamoto ya sehemu za kuhifadhia mazao pamoja na uhaba wa masoko. “Na imani mtaendelea kushirikiana nasi kwa upande wa masoko ili uchumi wetu uzidi kukua yapo mengi ya kufanya lakini haya yakifanikiwa tutafika mbali,” aliongeza Kikwete. Aliongeza kuwa Tanzania imeendelea na kupambana na rushwa kwani mpaka sasa rushwa imedhibitiwa kwa kiasi kikubwa huku lengo likiwa ni kufikia asilimia sifuri. Kwa upande wake Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Afrika Makhtar Diop alisema, ni furaha kuona ubia kati ya benki ya dunia na Tanzania umefikia miaka 50 ambayo ni miaka ya mafanikio kwa pande zote mbili. Alisema unapozungumzia miaka 50 ya Benki ya Dunia ni vyema kutambua mchango wa Rais wa Awamu ya Kwanza Mwalimu Julius Nyerere kwani alikuwa na uhusiano wa karibu sana na Mc Namara wote wakiwa na dhamira ya pamoja ya kukidhi mahitaji ya msingi ya kila mtanzania. “Baada ya kukaribia kuanguka kabisa kwa uchumi wa Tanzania miaka ya 80 Tanzania iliamua kuanza kutumia zaidi mbinu zenye mtazamo wa soko nah ii ndio ilianzisha ubia kati ya Tanzania na Taasisi ya Benki ya Dunia,” alisema Diop. Alisema kupitia miaka 1980 na 1990 benki ya dunia iliweza kusaidia Tanzania kufufua uchumi na kuwa wa wazi zaidi na nguzo ya uchumi imara.

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

Share:

DOWNLOAD KCEE - LOVE BOAT FT. DIAMOND PLATNUMZ (OFFICIAL VIDEO)

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

FALCAO ATUA CHELSEA KWA MKOPO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

NAFASI YA KAZI UBALOZI WA MAREKANI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

EMPLOYMENT OPPORTUNITY


PROCUREMENT AGENT (RE-ADVERTISED)
Share:

Official: Roma secure £3.6m loan deal for Ibarbo

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Rudi Garcia's side have an option to turn the Colombian forward's loan move from Cagliari into a permanent transfer for a further £5.7 million after he impressed there last season
Roma have confirmed the loan signing of Victor Ibarbo from Cagliari for a €5 million (£3.6m) fee.

The Colombia forward spent the latter part of last season with the Giallorossi, for whom he made 11 appearances after a initial battle with injury.
Official: Roma secure £3.6m loan deal for IbarboIbarbo has now sealed a further one-year deal with the Italian
Share:

Official: Matthews signs for Sunderland

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Official: Matthews signs for SunderlandThe 23-year-old full-back leaves Celtic to pen a four-year contract with the Black Cats, manager Dick Advocaat delighted to welco
Share:

Drivers training for Dar's new transport system underway

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Dar es Salaam Rapid Transit (UDA-RT)
 Bus drivers who will be employed during the transition period of the Dar es Salaam Bus Rapid Transit (BRT) will undergo training for two weeks.
Share:

Specialty diagnostic centre to be launched in Dar this year

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


NSSF Chief, Public Relations and Customer Service Eunice Chiume
 A Specialty Diagnostic Centre will be opened in Dar es Salaam later this year (November) by the India based Apollo Hospitals
Share:

Turkish agency donates ultra sound machine to Muhimbili

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Muhimbili National Hospital
 Golden Ratio Association of Turkey has donated an ultra sound machine to Muhimbili National Hospital worth $10, 000 early this week.
Share:

AUAWA KWA KUCHOMWA KISU NA MWANAMME MWENZIE WAKIGOMBANIA MWANAMKE WA BAA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                   

WATU watatu wamekufa katika matukio matatu tofauti katika Wilaya za Tarime na Rorya akiwemo mtu aliyeuawa wakati wanagombania mwanamke.

Share:

Video:BUNGE LAHAIRISHWA TENA KWA MARA NYINGINE


Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger