Tuesday 3 June 2014

 <meta content='a5UwvNA1Df8kUBvAzmqidIJH9pE0ODdM_z8Z8Ioc9YQ' name='google-site-verification'/>
Share:

KANISA KATOLIKI LATANGAZA MWANAMKE WA KWANZA DUNIANI: KUPEWA DARAJA LA UPADRI

Mtanadao wa waharakati wanaopigania wanawake kupewa daraja la upadri, Umemtangaza mwanachama wake Lillian Lewis (75) kuwa Padre Mkatoliki.

Uamuzi huo ambao unauweka mtandao huo katika hatari ya kutengwa na Makao Makuu ya Kanisa Katoliki duniani (Vatican) umefanyika mwishonu mwa wiki baada ya mwanamke huyo kutangwaza kasisi wa kwanza nchi Marekani.




Hilo ni pigo jipya kwa Kanisa Katoliki ambalo kwa siku za karibuni lina kilio cha kutaka mapadri waruhusiwe kuoa huku Papa Francis akieleza msimamo wake kuwa angependa kuendelea kuwa na mapadri waseja.
Share:

POMBE SI CHAI,CHEKI ILIVYOMFANYA VIBAYA O -TEN


o-ten

Unaweza kuona ni kiasi gani maisha ya kupanda na kushuka kwa kila mtu kwani kwa upande wa O-ten mambo hayamuendei vizuri kabisa kwa kifupi anahitaji maombi ya mama Rakwatare kwani hali yake sio na ulevi aka gambe limepitiliza.
Share:

VILIO VYATAWALA MWILI WA MTOTO NASRA UKIWASILI MKOANI MORO


Waombolezaji wakiangua kilio baada ya mwili wa marehemu Nasra Rashid (4)
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMANNE

Magazeti Leo Jumanne

001_f1741.jpg
Share:

BUNGENI:TUNDU LISSU AWALIPUA MAWAZIRI TENA


lissupx b4f46
Na Hudugu Ng'amilo
Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk Binilith Mahenge, jana walituhumiwa kutumia vibaya nafasi zao kwa kuweka fedha nyingi za miradi ya maji katika maeneo wanakotoka, huku sehemu zenye matatizo ya huduma hiyo zikitengewa fedha kiduchu.
Share:

RAIS MPYA WA MALAWI ANA MSIMAMO MKALI NA ZIWA NYASA

Rais wa Malawi ana msimamo mkali Ziwa Nyasa

peter_21a22.png
Wingu jeusi limeanza kutanda kuhusu hatima ya mzozo wa Ziwa Nyasa kutokana na msimamo wa hivi karibuni wa kiongozi wa Democratic Progressive Party (DPP), Peter Mutharika ambaye sasa ni Rais mpya wa Malawi.
Hiyo inatokana na msimamo wa Mutharika ambaye ni Profesa wa Sheria wa kupinga kuendelea kujadiliana na Tanzania kuhusu nani mwenye haki ya kumiliki ziwa hilo alioutoa wakati alipowatembelea wananchi wa Chipoko, kando ya ziwa hilo miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu ambao ulimwigiza madarakani.
Share:

‘Mtoto wa boksi’ kuzikwa leo, ndugu wa babake wajitokeza

Dar es Salaam. Ndugu wa baba wa mtoto, Nasra Mvungi (4) aliyefariki dunia usiku wa kuamkia juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, jana walijitokeza wakitaka wapewe mwili wa marehemu kwa ajili ya maziko.
Baada ya kuwasili hospitalini hapo saa 1:35 asubuhi, ndugu hao wakiongozwa na baba wa mtoto huyo, Rashid Mvungi walikutana na maofisa wa ustawi wa jamii wakiongozwa na Ofisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Morogoro, Oswin Ngungatuti wakitaka wakamzike mtoto wao kwa kufuata imani ya dini yao ya Kiislamu.
Share:

ACHOMWA MOTO KWA KUIBA NG`OMBE

MTU mmoja anayetuhumiwa kwa wizi wa ng’ombe na ndama wake, mwishoni mwa wiki iliyopita alipata kipigo cha kufa mtu na baadaye kuchomwa moto, lakini katika hali isiyo ya kawaida, hakuweza kufariki ‘kugoma kufa’ hadi polisi walipotokea na kunusuru maisha yake.
Mtuhumiwa wa wizi wa ng'ombe akiwa kwenye majani yaliyotumika kumchochea moto mara baada ya kupata mkong'oto wa nguvu kutoka kwa wamiliki wa ng'ombe hao huko Mwasanga, Ivumwe jijini Mbeya
Share:

DIAMOND PLATNUMZ NI NOMAAAAAAA, KUPIGA KOLABO NA MSANII HUYU WA MAREKANII? SOMA HAPA

DIAMOND PLATNUMZ HALALI. PAMOJA NA MAFANIKIO MAKUBWA ANAYOENDELEA KUYAPATA, STAA HUYO ANAZIDI KUJITENGENEZA CONNECTION KALI ZA KIMATAIFA.

 
Picha ya juu: Diamond akiwa na Kevin Liles, meneja wa Trey Songz, Big Sean, Estelle na wasanii wengine

 Katika kile kinachoonekana kuwa ni mazungumzo ya mwanzo wa safari ya kuelekea kuanza kufanya collabo na wasanii wa Marekani, Diamond amekutana na meneja wa Trey Songz, Big Sean na wasanii wengine wakubwa, Kevin Liles.
Share:

BAADA YA KUSEMA SUMU YAUSIKA,UKWELI KIFO CHA DENTI CHUO KIKUU UDSM HUU HAPA SOMA..............


HATIMAYE familia ya denti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, marehemu Sekabenga Pius Mwakimenya (21) kilichotokea hivi karibuni na kugubikwa na utata, imeanika ukweli kuhusiana na tukio hilo.
Marehemu Sekabenga Pius Mwakimenya enzi za uhai wake.
Share:

DIAMOND AFANYA SHEREHE YA KUZINDUA JUMBA LAKE JIPYA..


Share:

Monday 2 June 2014

NCHEMBA ASEMA ATAONGOZA MAPAMANO YA KUMNG'OA MSIGWA

Naibu katibu mkuu wa CCM bara Mwigulu Nchemba akiwahutubia  wananchi wa  jimbo la Iringa mjini.
Share:

Mwigulu Nchemba: "Nataka Niwe Rais ili Niwafundishe Adabu Watanzania!"



Akiwa  mjini Iringa kwenye viwanja vya Mwembetogwa, Mh Mwigulu Nchemba ......
Share:

MWILI WA MAMA YAKE ZITTO, BI. SHIDA SALUM WASAFIRISHWA KWENDA KIGOMA KWA MAZISHI


Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe akiwa na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba wakati wa kuuaga mwili wa mama yake kipenzi Bi. Shida Salum aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi.
Share:

LICHA YA VIGODORO KUKATAZWA HAPA JIJINI,, WATU WANAENDELEA KULA URODA TU WA MAUNO....


Share:

Mambo Ambayo Wanawake Wanafanya ili Kuleta Mvuto Lakini Hayashtukiwi na Wanaume Kivile



1. Kubadili mtindo wa kujikwatua.

Mwanamke anaweza kuwa amezoea kujikwatua kwa namna fulani lakini baada ya muda akaamua kubadili muonekanao wake kwa kubadilisha aina mpya ya kujikwatua kwa kuongeza vikorombwezo fulani fulani akitegemea mwenzi wake ata notes lakini asijue kwamba wanaume kwenye jambo hilo wala haliwagusi kabisa mpaka wafanye kushtuliwa.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger