Friday, 29 November 2024

CHAUMMA YAPATA KITI KIMOJA SERIKALI ZA MITAA

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimepata kiti kimoja katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa upande wa wenyeviti wa mitaa katika uchaguzi uliofanyika jana Novemba 27, 2024. Mchengerwa...
Share:

Thursday, 28 November 2024

MKURANGA WAHAMASISHWA MALIPO YA HUDUMA ZA MAJI

  Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kupitia mkoa wa kihuduma Mkuranga inaendelea na zoezi la kuhamasisha ulipaji wa ankara za majisafi kwa wateja wa eneo la Mwanambaya, kata ya Mipeko Wilaya ya Mkuranga. Zoezi hilo limeenda sambamba na kutoa wito kwa wateja kulipa...
Share:

WAZIRI KOMBO AWASILI MAKAO MAKUU YA EAC ARUSHA KUSHIRIKI MKUTANO WA 46 WA MAWAZIRI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo akiwasili katika Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jijini Arusha leo tarehe 28 Novemba 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 46 wakawaida wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya hiyo. Mkutano wa...
Share:

MBOWE, LISSU WATUACHIE CHAMA CHETU

  SINGIDA-Mpasuko ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umeendelea kutamalaki huku chanzo kikuu kikitajwa kuwa ni viongozi wakuu wa chama hicho kuyapa kisogo majukumu na vipaumbele vya chama huku wakiangalia fursa za kushibisha matumbo yao. Hali hiyo, inatajwa na baadhi ya wanachama...
Share:

Wednesday, 27 November 2024

DC MUHEZA ATOA WITO KWA WANANCHI KUTIMIZA HAKI YAO YA MSINGI KUCHAGUA VIONGOZI

  Na Oscar Assenga, MUHEZA. MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga Zainab Abdallah Issa amewataka wananchi wilayani humo kutimiza haki yao ya msingi kuchagua viongozi wanaowataka kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo hapa nchini. DC Zainab aliyasema hayo leo mara baada ya kushiriki...
Share:

RAIS SAMIA AMLILIA DKT. NGUGULILE

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kupokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile, Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, kilichotokea usiku wa kuamkia leo...
Share:

TANZIA: DKT. NDUGULILE AFARIKI DUNIA

...
Share:

Tuesday, 26 November 2024

WAHAMIAJI HARAMU WAVAMIA SHINYANGA, JESHI LA POLISI LAKAMATA SABA, LATAKA USALAMA WAKATI WA UCHAGUZI

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga SACP Janeth Magomi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga SACP Janeth Magomi  Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limeendelea kufanya doria na operesheni kubwa za kukabiliana na uhalifu na wahamiaji haramu, ambapo katika operesheni...
Share:

NLD YAHIMITISHA KAMPENI KWA KISHINDO HANDENI YAWAOMBA WANANCHI KUWAPA RIDHAA WAGOMBEA WAO ILI WAWAPE MAENDELEO

Na Oscar Assenga,HANDENI. CHAMA cha The National League For Democracy (NLD) kimehitimisha kampeni kwa wagombea ambao wanawania nafasi za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu huku wakiwawataka wananchi kuwapa ridhaa ili waweze kuwapa maendeleo. Akizungumza...
Share:

BOSI ANATAKA NIMPE PENZI NDIO ANIPANDISHE CHEO

Jina langu ni Jesca kutokea Mwanza, Tanzania, naweza kusema itanichukua miaka mingi sana kuja kusahau kitendo cha Bosi wangu niliyekuwa namuheshimu sana alipoaniambia ili kupanda cheo kazini basi ni lazima nilale na angalau mara kadhaa. Nilikataa mara moja kwani uwezo wa kazi ninao mzuri na isitoshe...
Share:

Monday, 25 November 2024

WAANDISHI WA HABARI MANYARA NA UTPC WAANDAMANA UZINDUZI WA KAMPENI YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI

WAANDISHI wa habari wa Mkoa wa Manyara na wafanyakazi wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) wameongoza maandamano ya uzinduzi wa kampeni maalum ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Katika maandamano hayo...
Share:

TANI 2.2 ZA DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA TANGA, DAR ES SALAAM

Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo Dawa za kulevya aina ya Skanka Dawa za kulevya aina ya Heroin na Methamphetamine *** Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imefanikiwa...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger