Na. Mwandishi wetu: Shinyanga
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi amesema Serikali ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inatambua umuhimu wa kuwa na lugha moja ya alama ili kuwezesha mawasiliano ya watumiaji wa lugha hiyo.
“Serikali...
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Hashimu Rungwe amefanikiwa kutetea nafasi yake ya Uenyekiti wa chama hicho taifa kura 118 kati 120 katika uchaguzi uliofanyika leo jijini Dar Essalam.
Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo,mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi Mohamed Masoud amesema nafasi...
MKUU wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Makonda,akizungumza na wananchi wakati mara baada ya kumkabidhi Mkandarasi tenda atakayetekeleza mradi wa kusambaza umeme katika vitongoji vya mkoa wa Arusha
MKUU wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Makonda,akizungumza na wananchi wakati mara baada ya kumkabidhi Mkandarasi...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mh.Hassan Bomboko ameelekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kumaliza changamoto ya upotevu wa maji katika kata ya Makuburi, Wilaya ya Ubungo ila wananchi waweze kupata huduma ya maji kwa uhakika.
Mheshimiwa Bomboko ameeleza hayo katika siku...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Ndugu Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akifunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, tarehe 28 Septemba 2024
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na...