
Na Oscar Assenga,KOROGWE.
KAMPENI ya Usalama barabara inayotolewa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana an Shirika la Amend Tanzania kupitia Ubalozi wa Uswis nchini umewafikia waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda eneo la Hale wilaya ya Korogwe huku ikieleza zaidi ya waendsha Bodaboda...