
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekabidhi Tanki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 10,000 katika Hospitali ya Wilaya ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Kishapu na chakula katika Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto Mkoani Shinyanga ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho...