Monday, 30 October 2023

SHIGELA ANADI FURSA ZA GGML ZINAZOIPAISHA GEITA KATIKA KONGAMANO LA MADINI

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela (katikati) ambaye alitembelea banda la GGML kwenye kongamano la Kimataifa la Madini na Uwekezaji Tanzania 2023 akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Uhusiano wa Jamii wa GGML, Doreen Dennis akiwa katika picha ya pamoja na Meneja Mwandamizi Mahusiano ya Jamii -  GGML,...
Share:

TBS YAWAFUNDA WAJASIRIAMALI NJOMBE

Afisa Udhibiti Ubora (TBS), Bi.Doris Mchwampaka akitoa elimu kuhusu masuala ya Viwango kwa wananchi waliotembelea banda la TBS katika maonesho ya nne ya SIDO  yanayofanyika  katika viwanja vya Sabasaba mkoani Njombe. ****************** Na Mwandishi Wetu, Njombe WAJASIRIAMALI wanaozalisha...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU OKTOBA 30,2023

...
Share:

Sunday, 29 October 2023

TaSUBa KITOVU CHA MAFUNZO TASNIA ZA SANAA NA UTAMADINI NCHINI-DKT. BITEKO

Jukwaa kuu likiongozwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko alipomwakilisha Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kilele cha Tamasha la 42 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililoandaliwa na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Taasisi ya Sanaa...
Share:

WATAALAMU WA UBONGO NA MISHIPA YA FAMAMU KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA WAKUTANA MLOGANZILA

Serikali imesema itaendelea kuwajengea uwezo wataalamu namna ya kubaini na kumhudumia mgonjwa mwenye changamoto za magonjwa ya Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu hapa nchini kwa kutambua kuwa magonjwa hayo yamekuwa tishio duniani. Akizungumza kwa niaba ya Mganga Mkuu wa Serikali, Mkuu wa Idara...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI OKTOBA 29,2023

...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger