Friday, 28 April 2023

CPB YATANGAZA FURSA KWA WADAU WA MAZAO

Baadhi ya wadau waliokusanyika katika kikao cha wadau wa mazao na CPB kilichofanyika Iringa janaa. Mkurugenzi wa Biashara na Masoko  wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB)  Evans Mwaning'go akiongea na wadau wa mazao katika kikao kilichofanyika Jana Iringa Mwenyekiti wa Bodi...
Share:

UTEUZI: RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAADILI

...
Share:

BODI YA MFUKO WA BARABARA YASHIRIKI MANESHO YA TEKNOLOJIA NA UBUNIFU

Kaimu Meneja wa Mfuko wa Barabara Eng. Rashid Kalimbaga, akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Mfumo wa ufuatiliaji hali ya barabara unaotumiwa na wananchi katika kutoa taarifa za hali ya barabara, katika kilele cha maonesho ya Teknolojia na Ubunifu jijini Dodoma. Meneja Msaidizi...
Share:

RAIS SAMIA AONGEZA PESA MAGOLI YA SIMBA NA YANGA....MAGOLI YA PENATI HAPANA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu hizo zitafuzu kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Simba...
Share:

GGML YAJA NA TEKNOLOJIA ZA KISASA MAONESHO YA OSHA, WANANCHI WAVUTIWA MIFUMO YA USALAMA

Afisa Mwandamizi wa Usalama na afya mahali pa kazi, Sospeter Mkombati akifafanua kuhusu chumba maalumu cha dharura wakati wa uokozi ndani ya mgodi (refugee chamber) ambacho kimebuniwa na kampuni hiyo katika uokozi wa wafanyakazi wake. Chumba hicho kipo kwenye maonesho ya usalama na afya mahali pa...
Share:

CHANZO CHA SISI KUHAMISHIWA KWENYE NYUMBA YA SERIKALI GHOROFANI

Wilayani Kyela Mbeya ndipo nilipokulia huko ila kuzaliwa nilizaliwa Tabora mjini pale Cheyo ‘A’ sijui ni lini familia yetu ilihamia huko Kyela kwa kuwa tumeanza kuishi huko kuanzia nikiwa mdogo kabisa.  Mafuriko ndio changamoto kubwa sana ni sehemu ya familia zote za wanakyela kila mwaka...
Share:

MIGODI YA BARRICK YA BULYANHULU, NORTH MARA NA BUZWAGI YATOA ELIMU YA USALAMA NA AFYA KWA JAMII KATIKA MAONESHO YA OSHA MJINI MOROGORO

Mwenyekiti wa Bodi ya OSHA Dkt. Adelhelm Meru (mwenye suti) akikabidhiwa Sanduku maalimu lenye vifaa maalimu vya huduma ya kwanza na Safety Coordinator wa mgodi wa Bulyanhulu , Hassani Kallegeye, Kwa ajili ya kuwagawia wajasiriamali wa mkoa wa Morogoro waliopewa mafunzo na Barrick wakati wa wiki...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO IJUMAA APRILI 28,2023

...
Share:

Thursday, 27 April 2023

MILEMBE AUAWA NA WASIOJULIKANA KISHA KUTUPWA KWENYE NYUMBA YAKE

Milembe Selemani(43) Milembe Selemani(43), mkazi wa mtaa wa Mseto halmashauri ya mji Geita, aliyekuwa kitengo cha ugavi mgodi wa GGML, ameuawa kwa kukatwa viungo vya mwili wake na watu wasiojulikana na mwili wake kutupwa kwenye moja ya nyumba alizokuwa anajenga zilizopo mtaa wa Mwatulole Kata ya...
Share:

KATIBU MKUU IKULU ATAKA WAFANYAKAZI TASAF KUZINGATIA MAADILI

Mwandishi Wetu WAFANYAKAZI wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) wametakiwa kufanya kazi kwa ueledi na kuzingatia maadili huku wakiepuka ubaguzi wa aina yoyote katika utekeleaji wa majukumu yao. Hayo yamesemwa leo AAprili 27, 2023 na Katibu Mkuu Ikulu, Mululi Mahendeka alipokuwa akifungua Mkutano...
Share:

BARRICK KUENDELEA KUTOA FURSA KWA WANAWAKE KUFANYA KAZI KWENYE SEKTA YA MADINI

Baadhi ya wahitimu wakipokea vyeti kutoka kwa mgeni rasmi Baadhi ya wahitimu wakipokea vyeti kutoka kwa mgeni rasmi Meneja Mawasiliano wa Barrick nchini, Georgia Mutagahywa akiongea wakati wa mahafali ya kidato cha sita katika shule ya sekondari ya sekondari ya Jenerali David Musuguri iliyopo...
Share:

WADAU MBALIMBALI WATEMBELEA BANDA LA NACTVET KWENYE MAONESHO YA WIKI YA UBUNIFU

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET), linashiriki katika maonesho ya wiki ya ubunifu yanayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma.  Maonesho hayo yameandaliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na yanatarajiwa kudumu kwa siku tano, kuanzia tarehe...
Share:

POLISI SHINYANGA WAKAMATA KONDOMU, BUNDUKI ZA MAKAMPUNI YA ULINZI ZIKIAZIMWA NA WAHALIFU

Na Halima Khoya  & Kadama Malunde - Malunde 1 blog Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limefanya ukaguzi wa kushitukiza kwenye malindo ya kampuni mbalimbali za ulinzi na kufanikiwa kukamata Bunduki 5 ambazo hazikufuata utaratibu wa kisheria zikitumika kuazimishwa kwa wahalifu huku likikamata...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger