Tuesday, 29 June 2021

Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika-IMF Abebe Aemro Selassie Ikulu Jijini Dodoma

...
Share:

Mpango Wa Tatu Wa Maendeleo Wa Taifa Wazinduliwa

 Na. Saidina Msangi, WFM, Serikali imezindua rasmi Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 hadi 2025/26 unaotarajiwa kugharimu shilingi trilioni 114.8 ambapo Serikali itachangia Sh. trilioni 74.2 na sekta binafsi itachangia Sh. trilioni 40.6. Mpango huo unaotarajiwa kutekelezwa...
Share:

Waziri Mkuu Azindua Mpango Wa Tatu Wa Maendeleo

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/2022–2025/2026 utakaogharimu shilingi trilioni 114.8, ambapo sekta binafsi inatarajiwa kuchangia shilingi trilioni 40.6 na sekta ya umma shilingi trilioni 74.2. “...fedha hizo zinajumuisha mikopo na...
Share:

IGP Sirro afanya mabadiliko kwa baadhi ya Makamanda wa Polisi wa Mikoa

...
Share:

Tanzia :MHANDISI MFUGALE AFARIKI DUNIA

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale, amefariki dunia leo Juni 29, 2021 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma. Taarifa zinaeleza kuwa Mhandisi Mfugale aliondoka jana jijini Dar es Salaam na kuelekea Dodoma akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi...
Share:

Wallace Karia Apitishwa na Kuwa Mgombea Pekee wa Urais TFF

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo Juni 29, 2029 imempitisha Wallace Karia kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Rais wa shirikisho hilo, baada ya kukidhi vigezo vyote. Wallace Karia ambae ndio Rais wa sasa wa TFF jina lake pekee ndio lililopitishwa na kamati ya uchaguzi,...
Share:

Jacob Zuma. Ahukumiwa Miezi 15 Jela

Mahakama nchini Afrika Kusini imemhukumu kifungo cha miezi 15 aliyekuwa rais wa taifa hilo, Jacob Zuma. Hii ni baada ya Korti ya Katiba kumpata na hatia ya kukaidi agizo la kufika mahakamani baada yakukosa kufika kwenye kikao cha uchunguzi wa kesi ya ufisadi wakati alipokuwa rais. Mahakama ilikuwa...
Share:

Mwenyekiti Wa CCM Na Rais Wa Jamhuri Ya Muuungano Wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Aongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu Ya Taifa Ya CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi NEC, kilichokutana leo Juni 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)...
Share:

Regional Planning, Monitoring, Evaluation and Reporting Specialist at WaterAid

Job Title: Regional Planning, Monitoring, Evaluation and Reporting Specialist Location- Any country with WaterAid presence in East Africa (Uganda, Tanzania, Rwanda and Ethiopia) Salary: Grade F Contract type: 3 Years Fixed Contract (Renewable) Reports to: Regional Programme Manager in East Africa Region Relationships: Programme Support Units at Country Programme level, Monitoring...
Share:

WANAUME WAWILI WABADILISHANA WAKE ZAO KUMALIZA SKENDO YA UZINZI VICHAKANI

Wanaume wawili kutoka Uganda wameamua kubadilishana wake zao ili kumaliza sakata ya uzinzi kwa amani. Hii ni baada ya mmoja wao Ali Mudde, mkazi wa kijiji cha Musoma katika kisiwa cha Jagozi kufahamishwa kuwa Bryan Masaba alikuwa anafanya mapenzi na mke wake katika kichaka kilichoko karibu. Kwa mujibu...
Share:

AKUTWA AMEFARIKI KWA KUPIGWA NJE YA DUKA LA VINYWAJI VIKALI

Mwili wa mwanaume anayedaiwa kuwa ni mfugaji mkazi wa kijiji cha Arirai wilayani Ngorongoro mkoa wa Arusha, Sabore Shumbi (44) umekutwa pembeni ya duka la kuuza vinywaji vikali katika kijiji cha Haydom wilaya ya Mbulu Mkoa wa Manyara ukiwa na majeraha kichwani kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali. Kamanda...
Share:

LEGAL OFFICER II – 4 POST at BRELA

POST LEGAL OFFICER II – 4 POST POST CATEGORY(S) LEGAL EMPLOYER Business Registrations and Licensing Agency (BRELA) APPLICATION TIMELINE: 2021-06-28 2021-07-11 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To process, scrutinize and approve applications; ii. To reconcile files/documents and update into the ORS; iii. To respond to the online and offline official searches. iv. To […] This post LEGAL...
Share:

Masseuse (Spa Therapist) at One Nature Hotels

Position: Masseuse (Spa Therapist) Company Name & Location One Nature Hotels – Arusha Office, Tanzania   Qualification • 5-6 years’ experience  working as a Masseuse in a luxury hotel • Good communication skills ·  Must have the ability to multi Task ·  Ability to handle pressure. ·  Maintain high standards of personal hygiene & grooming How to […] This...
Share:

Forensic Analyst at Vodacom

At Vodacom, we’re working hard to build a better future. A more connected, inclusive and sustainable world. As a dynamic global community, it’s our human spirit, together with technology, that empowers us to achieve this. We challenge and innovate in order to connect people, businesses, and communities across the world. Delighting our customers and earning […] This post Forensic Analyst at Vodacom...
Share:

Head; HR Shared Services at CRDB Bank

Job Summary Reporting directly to the Director of Human Resources, this is a key position responsible for ensuring HR service excellence at CRDB Bank PLC with a broad scope across all generalist HR queries and administration, reward and benefits, payroll and people analytics. The role requires a focus on continuing to improve service excellence, standardize […] This post Head; HR Shared Services...
Share:

TAASISI YA WAJIBU YAZINDUA RIPOTI ZA UWAJIBIKAJI MWAKA 2019/2020, WADAU WAPONGEZA

WADAU mbalimbali kutoka taasisi za Serikali, viongozi, wabunge ,Asasi za Kiraia na wanafunzi vyuo vikuu wameshuhudia uzinduzi wa Ripoti tano za Uwajibikaji ambazo zimetokana na Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali( CAG). Ripoti hizo zimeandaliwa na Taasisi ya WAJIBU ambayo imeziandaa ripoti...
Share:

Capacity Development Specialist at UONGOZI Institute

About us UONGOZI Institute was established in 2010 by the Government of Tanzania to inspire and equip Tanzanian and African leaders to deliver inclusive and sustainable solutions. This is done through the provision of high-quality executive education programmes, facilitation of policy dialogues, action-oriented research and technical assistance for public institutions. The Institute is currently...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger