Tuesday, 30 June 2020

CSR Project | TECNO Mobile Tanzania Kutembelea Kituo Cha Watoto Yatima

TECNO MOBILE TANZANIA P.O.BOX DAR ES SALAAM,  TANZANIA 25/06/2020 PRESS RELEASE: Tecno Mobile Tanzania Kutembelea Kituo Cha Watoto Yatima Mnamo tarehe 27 Juni mwaka huu Tecno Mobile Tanzania kwa kushirikiana na Startimes Tanzania ilitembelea  kituo cha watoto yatima kilichopo Chanika...
Share:

Waziri Simbachawene Ashangaa Magari Ya Sekondari Ya Magereza Kusajiliwa Namba Binafsi, Atoa Siku Moja Apewe Taarifa

Na Mwandishi Wetu, Pwani. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amefanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Sekondari Bwawani ambayo inamilikiwa na Jeshi la Magereza na kubaini madudu ikiwemo magari ya Jeshi yamesajiliwa kwa namba binafsi. Waziri Simbachawene alianza ziara yake...
Share:

Picha : MUONEKANO WA MAJENGO YA KISASA HOSPITALI YA WILAYA YA SHINYANGA

Muonekano wa sehemu ya Majengo 8 ya Hospitali ya Wilaya ya Shinyanga iliyopo katika kijiji cha Iselamagazi kata ya Iselamagazi halmashauri ya wilaya ya Shinyanga leo Jumanne Juni 30,2020.  Majengo yaliyopo ni Jengo la wagonjwa wa nje (OPD), (Maabara (Laboratory), Stoo ya dawa (Pharmacy) , Mionzi...
Share:

KAMPUNI YA VEGRAB ORGANIC FARMING LTD YAZINDUA SOKO LA PILIPILI KICHAA SINGIDA

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Vegrab Organic Farming LTD,Gladness Nyange,akizungumzia kilimo cha pilipili kichaa wakati wa uzinduzi wa zao hilo uliofanyika Kitongoji cha Kipunda,Kjiji cha Mtunduru,wilaya ya Ikungi, mkoani Singida mwishoni mwa wiki.  Afisa Ushirika wa Halmashauri...
Share:

LIVE: Rais Magufuli Akirudisha Fomu Ya Kugombea Urais Kupitia CCM

Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, arudisha fomu ya kugombea nafasi ya Urais kupitia chama chake cha (CCM) katika Ofisi ya CCM, White House Dodoma. ==>>Tazama hapo chini...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JULAI 30,2020

  ...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger