Wednesday, 29 April 2020

MAJAMBAZI WAVAMIA KANISA KATOLIKI KATOLIKI PAROKIA YA MODEKO MOROGORO..KANISA LAFUNGWA KWA KUFURU

Na Angela Kibwana, Morogoro Na P. Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican. Mheshimiwa Padre Lazarus Vitalis Msimbe, S.D.S., Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki la Morogoro nchini Tanzania amefunga Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Mtakatifu baada ya kuwasiliana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania...
Share:

WAZIRI JAFO ATOA MAELEKEZO KUHUSU MPANGO WA UFUNDISHAJI WANAFUNZI KIELEKTRONIKI

Nteghenjwa Hosseah – OR-TAMISEMI WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo amelitaka Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA) na Taasisi ya Elimu Tanzania(TET), kuhakikisha utaratibu wa kufanya marejeo ya mitihani ulioanza kwa kidato cha sita uhusishe madarasa...
Share:

LHRC YAZINDUA RIPOTI YA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA 2019

Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Anna Henga (katikati), Afisa Utafiti, Fundikila Wazambi (kushoto) na Mkurugenzi wa Uwajibikaji na Uwezeshaji wa Kituo hicho, Felista Mauya (kulia) wakionesha nakala za Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania 2019 mara baada ya uzinduzi leo Jumatano  leo Aprili 29, 2020...
Share:

RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MBUNGE WA SUMVE, RICHARD NDASSA

...
Share:

JITIBU TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KWA KUTUMIA FULL POWER.. UUME MDOGO ZAT 50 NDIYO SULUHISHO

Zati 50 Full Power Sababu za upungufu wa nguvu za kiume na maumbile madogo ya uume: ⇒Ngiri, ⇒Henia ⇒Kisukari ⇒Tumbo kujaa gesi ⇒Kutopata choo vizuri ⇒Utumiaji madawa kwa muda mrefu ⇒Unywaji wa pombe kupita kiasi ⇒Msongo wa mawazo  ⇮⇒Haya yote hupelekea mwili kutokuzalisha homoni...
Share:

WAGONJWA WA CORONA KENYA WAFIKA 384

Idadi ya walioambukizwa virusi vya Corona nchini Kenya yafikia 384, ni baada ya wagonjwa wapya 10 kuongezeka ambapo tisa ni kutoka Mombasa na mmoja ni kutoka Nairobi. Akiongea na Waandishi wa habari leo, Aprili 29, 2020 Katibu wa Afya Mercy Mwangangi amesema katika saa 24 zilizopita sampuli 580...
Share:

MUME NA MKE WACHARANGWA MAPANGA NA MKWE WAO AKILIPIZA KISASI WAMEMBANIA KURUDIANA NA MKE WAKE

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Mwanaume aitwaye Mwandu Chalya (75) na mke wake aitwaye Gigwa Kwangu (70) wamenusurika kufa wakiwa wamelala ndani ya nyumba yao baada kukatwa na kitu chenye ncha kali na mkwe wao Masele Boniface akilipiza...
Share:

BUNGE LAAHIRISHWA KUFUATIA KIFO CHA MBUNGE WA SUMVE, RICHARD NDASSA

Spika wa Bunge, Job Ndugai, leo Aprili, 29, 2020, ameahirisha Mkutano wa 19, Kikao cha 9, cha Bunge hadi kesho, kufuatia kifo cha Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa. Ndassa anakuwa mbunge wa pili wa CCM, kufariki dunia wakati Mkutano huu wa Bunge la 19 ukiendelea, baada ya Mbunge wa Viti Maalumu...
Share:

Serikali ya Uganda yatathmini uwezekano wa kulegeza masharti ya watu kutembea...Museven Katoa Masharti Kwa Madereva wa Malori

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema hivi karibuni atatangaza iwapo atalegeza masharti ya watu kukaa nyumbani kutokana na mamabukizi ya Corona, katika taifa hilo ambalo limeshuhudia maambukizi ya watu 79. Wakati huo huo rais Yoweri Museveni ametangaza hatua mpya za kudhibiti mienendo ya madereva...
Share:

Idadi ya Vifo Vya Corona Nchini Marekani Yazidi Idadi ya Wamarekani Waliofariki Wakati wa Vita Vya Vietnam

Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani imeongezeka na kufikia zaidi ya Milioni moja, huku idadi ya watu walipoteza maisha ikifikia zaidi ya 58,000. Takwimu za kiafya zinaonesha kuwa kwa sasa Marekani ina visa vya maambukizi 1,035,765  huku idadi ya watu walipoteza maisha...
Share:

Waziri Mkuu Majaliwa: Tutaendelea Kuboresha Huduma Za Afya

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi magari 10 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge ikiwa ni mwendelezo wa jitihada za dhati za Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli za kuhakikisha Watanzania wanapata huduma bora za afya karibu na makazi yao. Magari hayo 10 ni kati...
Share:

Breaking : MBUNGE WA SUMVE RICHARD NDASSA AFARIKI DUNIA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema Mbunge wa Jimbo la Sumve Mhe. Richard Ndassa (CCM) amefariki dunia leo Jumatano Aprili  29,2020. Dr. Hamisi A. Kigwangalla Page Liked · 30 mins ·  Miaka hii mitatu imenikumbusha sana namna tulivyo viumbe dhaifu...
Share:

Picha : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKABIDHI MAGARI 50 YA KUBEBEA WAGONJWA KWA WABUNGE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Dodoma Mjini ambaye pia ni Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa  kwa wabunge yenye thamani ya  shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo yamefanyika kwenye...
Share:

WAGONJWA WA CORONA TANZANIA WAFIKIA 480 ....KUNA ONGEZEKO LA WAGONJWA WAPYA 196

Na.WAMJW,Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametoa taarifa ya mwenendo wa Ugonjwa wa Corona nchini ambapo amesema kuwa kuna maambukizi mapya ya ugonjwa huo kwa watanzania 196 ambapo kati yao; kutoka Bara ni 174, Zanzibar 22 na kufanya jumla ya watu waliopata...
Share:

NAIBU WAZIRI NYONGO AONGOZA KIKAO CHA MARIDHIANO NA KUPOKEA OMBI LA MWEKEZAJI

NAIBU Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Nzega ili kusikiliza maombi na kutatua  changamoto za wachimbaji wadogo wa madini Aprili 27 mwaka huu NAIBU Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo kulia akihoji...
Share:

Digital Support Executive at Vodacom Tanzania

Digital Support Executive Posting Country:  Tanzania, United Republic of Date Posted:  28-Apr-2020 Full Time / Part Time:  Full Time Contract Type:  Permanent Joining Vodacom is more than a job, what we do matters. We don’t just carry minutes, texts and data – we carry people’s lives. And that’s a huge responsibility. If you think for a minute about the people...
Share:

KIJANA AMUUA BABA YAKE KWA KUMKATA PANGA AKIDAI URITHI WAKE

NB- Picha haihusiani na habari hapa chini Na Israel Mwaisaka, Sumbawanga Jeshi la Polisi mkoani Rukwa linamshikilia kijana mmoja mkazi wa Kijiji cha Mtenga Tarafa Namanyere wilayani Nkasi, kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata kata mapanga kichwani baba yake mzazi aitwaye Ntemi Seni (65) akidai urithi...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger