
Mfano wa Bomba lililomwangukia mtoto.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora ACP Brnabas Mwakalukwa, amesema kuwa mtoto aliyeangukiwa na bomba kubwa la maji mkoani humo, amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Bugando kwa ajili ya matibabu.
Mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza katika...