Friday, 21 July 2017

MPYA:TCU YATOA MAAGIZO MAZITO KWA WANAFUNZI WANAOTEGEMEA KUOMBA VYUO VIKUU MWAKA HUU 2017/2018

Hapo jana Tume ya vyuo Vikuu Tanzania TCU iliitisha vyombo vya habari na kuamua kuzungumzia swala zima la udahili kwa wanafunzi wa kidato cha sita mwaka huu 2017/2018. Kaimu katibu Mkuu Nacte alisema Tume imetekeleza agizo  la kuawataka wanafunzi waombe vyuo wanavyotaka wenyewe ambapo hapo nyuma ilibainika kuwamba TCU walikuwa wakiwapangia wanafunzi vyuo. Jumla ya wanafunzi  70,550 wamepata...
Share:

Wednesday, 19 July 2017

MPYA:JINSI YA KUOMBA CHUO MWAKA HUU WA MASOMO 2017/2018

Habari yako? Kwanza kabisa naepnda kumshukuru Mungu kwa kuzidi kunipa nguvu na akili ya kuzidi kuwatumia kwa kuwapa vitu muhimu hasa kipindi hiki cha uombaji wa vyuo vikuu 2017. Watu wengi wamekuwa wakiuliza na kujiuliza je mwaka huu tunaombaje vyuo? Maswayetu blog itaongelea jinsi ya kutuma maombi. Kwa muda mrefu wanafunzi wengi wamekua wakiomba vyuo kupitia TCU au NACTE.Lakini mwa ka huu hali...
Share:

Tuesday, 18 July 2017

USHAURI KWA FORM SIX WALIOKOSA SIFA ZA KWENDA CHUO KIKUU KUHUSU NINI CHA KUFANYA

USHAURI NINI CHA KUFANYA KWA FORM SIX AMBAO HAWAJAPATA VIGEZO VYA KWENDA CHUO KIKUU 2017/2018 Habari yako? Kama tulivyokuahidi kuhusu kutoa ushauri na mwongozo kwa wanafunzi wa kidato cha sita ambao hawakufikisa vigezo vya kwenda chuo kikuu mwaka huu 2017. Ili uende chuo kikuu lazima uwe na minimum points of 4(D D) AU 4(C E) katika masomo yako mawili uliyosom...
Share:

Sunday, 16 July 2017

USHAURI KWA KIDATO CHA SITA KULINGANA NA MATOKEO WALIYOYAPATA KUHUSU KOZI NZURI YA KUSOMEA CHUONI 2017/2018

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 USHAURI KWA KIDATO CHA SITA KULINGANA NA MATOKEO WALIYOYAPATA KUHUSU KOZI NZURI YA KUSOMEA CHUONI 2017/2018 Habari yako? Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu wangu Muumba...
Share:

Saturday, 15 July 2017

BREAKING NEWS:HAYA HAPA MATOKEO KIDATO CHA SITA ACSEE 2017

...
Share:

TUMIA LINK HII KUANGALIA MATOKEO YA ACSEE FORM SIX NECTA RESULTS 2017

Kumekua na usumbufu wa kuangalia matokeo kidato cha sita 2017 MASWAYETU BLOG tunahakikisha wewe mdau wetu namba moja haukosi issue hii ya muhimu kwa TAIFA, tumekuwekea hapo chini njia nyepesi ya kuangalia matokeo yako. FANYA HIVI, Tumia link niliyoiweka hapo chini,then sehem yenye exam number ya shule weka ya shule yako,mfano:hapo chini utabadilisha s0227 na utaweka exam number ya shule yako. TUMIA...
Share:

ACSEE NECTA RESULTS 2017,ARUSHA GIRLS SEC SCHOOL

Namba Namba ya Mtahiniwa Jinsi Daraja Pointi Matokeo 1 S5260/0501 F III 16 G/STUDIES-F GEOGR-E ADV/MATHS-F ECONOMICS-D 2 ...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger