
SERIKALI imepanga kununua ndege za kisasa ili kuimarisha ulinzi katika Hifadhi za Taifa nchini.
Hayo
yamesemwa jana na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Meja
Jenerali Gaudence Milanzi wakati akihojiwa na kipindi maalumu cha
TUNATEKELEZA kinachorushwa hewani na kituo cha Televisheni...