INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
NG'WANZA TEACHERS COLLEGE CHUO PEKEE KINACHOPOKEA WANAFUNZI WA CHETI 2014/2015
Habari yenu wadau wapendwa wa BLOG HII YA MASWAYETU leo tunawaletea taarifa njema kwa watu wote wanaotaka kujiunga na ualimu ngazi ya cheti na wanataka kujiunga,basi Chuo cha NG'WANZA KILICHOPO MASWA SIMIYU ni chuo pekee kinachoendela kupokea wanafunzi wote waliokosa nafasi kujiunga na cheti kwa...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa mkutano
Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura 287 (kwa...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Please be informed that NACTE is issuing curricula for six programmes namely;
Accountancy (NTA Levels 4 – 6);
Business Administration (NTA Levels 4 – 6);
Community Development (NTA Levels 4 – 6);
Computing and Information Technology (NTA Levels 4 – 6);
Procurement and Supply...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TAARIFA KWA UMMA
BWANA CHRISANTUS LUCAS MILANZI
Bwana Chrisantus Lucas Milanzi, mzaliwa wa Masasi Mtwara, ambaye picha yake inaonekana hapo juu, si mwajiriwa wa Chuo Kikuu cha Dodom...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari
tulizozipata hivi punde kutoka mkoani Simiyu ni kwamba mwanafunzi
aliyefahamika kwa jina la Yunis Festo aliyekuwa anasoma kidato cha nne
katika shule ya sekondari Simba wa Yuda iliyoko katika kijiji cha Bulima
wilaya ya Busega amefariki dunia .
Yunis
Festo...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jumatatu
ijayo tarehe 03/11/2014 wanafunzi wa kidato cha nne wanakwenda kuanza
mitihani yao ya kuhitimu kidato cha nne. Hii ni hatua muhimu sana
kwenye maisha yao kwani ndio itapelekea ndoto zao nyingine kuwa kweli.
Kama mwananfunzi ana ndoto ya kuwa injinia, rubani, daktari au mwalimu,
mitihani hii ni muhimu kwake kufaulu ili kuweza kuendelea na masomo
yako.
Hapa...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The
rankings of Africa’s top higher education institutions is provided by
the 4 International Colleges & Universities (4icu). 4icu is an
international higher education search engine and directory reviewing
accredited Universities and Colleges in the world. 4icu.org...
Na Mwandishi wetu_MAELEZO-Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Mrisho Kikwete
anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa
kituo cha michezo katika eneo la Kidongo Chekundi jijini Dar es salaam.
Kituo cha michezo kinajengwa...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu,leo tena tunawaletea majina ya Wanafunzi walioomba kuhama vyuo kutokana na kutokuridhishwa na kozi walizochaguliwa...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari zilizotufukia hivi punde zinasema kuwa muigizaji Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunafuatilia kwa karibu habari hizi nz chanzo ch kifo cha mzee wetu huyu...
INNOCENT-THE BLOGGER BOY
Tume ya vyuo vikuu Tanzania imetangaza majina ya wanafunzi waliofanikiwa kuhama vyuo awamu ya tatu mwaka wa masomo 2014/2015.
Kama kawaida yetu MASWAYETU...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mhitimu wa kozi ya shahada ya kwanza ya elimu, Theresia Mbilinyi akipongezwa na mama mkwe wake, Blandina Mbunda wakati wa mahafali ya pili ya chuo kikuu cha Mt Augustino Tanzania yaliyofanyika chuoni mkoani Morogoro, ambapo jumla ya wahitimu 547 wa kozi hiyo walihimu ikiwa...