Wawekezaji waonesha nia kuwekeza kwenye biashara ya uwindaji wa kitalii na hoteli nchini.
Na. Mwandishi wetu, Abu Dhabi.
Maonesho ya Kimataifa ya Uwindaji wa Kitalii yanayojulikana kwa Jina la "Abu Dhabi International Hunting and Equestrian Exhibition - ADIHEX 2024" yamezaa matunda kufuatia...
Baadhi ya waombolezaji baada ya ajali ya moto
Nchi ya kenya imetangaza siku tatu za maombolezo ya Kitaifa kutokana na vifo vya wanafunzi 17 wa shule ya msingi ya Hillside Endarasha kufariki katika ajali ya moto iliyotokea katika shule hiyo.
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombolezo ya...
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeshiriki katika Maonesho ya 21 ya Wahandisi Tanzania kwa kutoa elimu kwa wahandisi kuhusu uwepo mashine bora na za kisasa katika maabara ya TBS ambazo wanaweza katika miradi yao kuhakiki bidhaa katika miradi yao.
Akizungumza...
Serengeti Premium Lite
*************
Serengeti Breweries Limited imezindua muonekano mpya na maridadi kwa chapa zake pendwa, ikiwemo Serengeti Premium Lager, Serengeti Premium Lite, na Serengeti Premium Lemon.
Mabadiliko haya yanalenga kusherehekea urithi wa kitanzania na ubora ambao Watanzania...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imepanga kuanza mkakati jumuishi na wakazi wa Buguruni kisiwani, katika Wilaya ya Ilala katika utunzaji wa miundombinu ya Usafi wa Mazingira ili kumaliza changamoto ya utiririshaji majitaka katika makazi ya watu.
Akizungumzia...
Naibu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga mara baada ya kuwasili mkoani hapo kwa ziara ya chama ya siku saba leo, tarehe 6 Septemba 2024.
Mongella ni mlezi wa CCM Mkoa wa Shinyanga.
Pamoja na kutia...
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi,akizungumza na moja wa mteja mara baada ya kuzindua Kituo cha Huduma kwa Mteja ,uzinduzi huo umefanyika katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Na Mwandishi Wetu, DODOMA
WIZARA ya Katiba na Sheria imezindua Kituo cha Huduma kwa Mteja huku...
CHAMA Cha Wazee Wanaume Nchini kinasikitishwa na kulaani vitendo vya ukatili vinayoendelea kufanywa na baadhi ya watu wasio na hofu ya Mungu, katika maeneo mbalimbali.
Kiongozi mkuu wa chama hicho Tadei Mchena amesema vitendo vinayoendelea havipaswi kabisa kufanywa na binadamu wenye akili timamu...