Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akiwa na wa Makatibu Wakuu unaojumuisha Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Natu Mwamba, Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu wakiwa na Katibu Tawala Mkoa wa Pwani, Bw. Rashid Mchatta walipotembelea Kiwanda cha Kiwanda cha Kairuki...
Watu wawili jinsi ya kike wakazi wa Kiwanja Kata ya Mbugani Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wameuawa na mtoto mwingine mwenye umri wa miaka miwili kujeruhiwa kwa vitu vyenye ncha kali nyumbani kwao.
Waliouawa ni mwalimu Herieth Lupembe wa shule ya msingi Mbugani na Mkazi wa Kiwanja kata ya Kiwanja...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Mhe. Tabia Mwita akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru leo Aprili 1, 2024, Mkoani Kilimanjaro. Katikati ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,...
Jina langu naitwa Jesca kutokea Arusha, Tanzania, wakati naanza mahusiano na mpenzi wangu nilimkuta ni mtu anayekunywa sana pombe na kuvuta sigara, ndio ulikuwa mtindo wake wa maisha kila siku.
Binafsi sipendi kabisa harufu ya sigara, kwa kuwa nilimpenda nilifumbia macho lile tatizo nikiamini kwamba...