Wednesday, 6 March 2024

TGNP YAJIVUNIA ONGEZEKO LA WANAWAKE KATIKA HUDUMA ZA KIFEDHA

Mwenyekiti wa Bodi TGNP, Bi. Gemma Akilimali akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambapo TGNP wameanzisha leo Machi 6, 2024 kwenye viwanja vya TGNP-Mtandao Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya Mwaka huu yankwenda na kauli mbiu isemayo "Wekeza kwa Wanawake, Kuharakisha Maendeleo...
Share:

MADIWANI WA HALMASHAURI YA MSALALA WAFANYA ZIARA YA KIKAZI BARRICK NORTH MARA NA KUPONGEZA UWEKEZAJI WENYE TIJA

Madiwani wa Halmashauri ya Msalala wakijionea mradi wa majisafi ya bomba uliojengwa kutokana na fedha za CSR Barrick North Mara katika kijiji cha Nyangoto kwa ajili ya matumizi ya wananchi wa vijiji wanaoishi katika maeneo yanayozungika mgodi. Madiwani wa Halmashauri ya Msalala wakijionea mradi...
Share:

CUBA NA TANZANIA KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA MAENEO YA KIMKAKATI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba, nchini Tanzania, Mhe. Yordenis Despaigne Vera. Katika Mazungumzo hayo Dr. Nchimbi na Mhe. Balozi Vera wamejadiliana juu ya masuala mbalimbali yanayohusu namna ya kuimarisha...
Share:

Tuesday, 5 March 2024

DAWA KIBOKO KWA NGUVU ZA KIUME

  Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya tendo la ndoa kikamilifu ,shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kutokuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba. CHANZO CHA TATIZO LA...
Share:

TANESCO YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA KWA WANAFUNZI WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MANISPAA YA KAHAMA

Na Patrick Mabula , Kahama. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa msaada wa vifaa vya shule kwa watoto zaidi 100 wanaoishi katika mazingira magumu wanaosoma shule za msingi nne na sekondari nne zilizopo kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kahama. Vifaa hivyo vilivyokabidhiwa Machi 4,2024 na...
Share:

SAGINI ATANGAZA SIKU 14 KUONDOA NAMBA ZA 3D, MADEREVA WA SERIKALI KUKIONA

DAR ES SALAAM - Na Mwandishi Wetu;- Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetangaza siku 14 kwa watumiaji wa Vyombo vya Moto barabarani kuondoa namba za magari zilizoongezwa ukubwa maarufu kama (3D) na Vimulimuli kwa magari yote yasiyoruhusiwa kuwekwa, namba zote zenye vibao vyeusi na zizonatumia namba...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger