Benki ya CRDB Kanda ya Ziwa imezindua kampeni ya 'SimBanking Transact By Finger' inayolenga kuhamasisha wafanyakazi wa benki hiyo kuwaunganisha wateja na kuwaelimisha ili kutumia huduma ya SimBanking.
Uzinduzi huo umefanyika Jumatatu Machi 04, 2024 katika tawi la CRDB Nyanza jijini Mwanza ambapo...
Na Mwandishi Wetu,Tanga
UBALOZI wa Uswisi kupitia ufadhili walioufanya kwa taasisi isiyo ya kierikali ya AMEND kwa ajili ya kutoa elimu ya usalama barabarani ikiwemo elimu ya huduma ya kwanza kwa madereva bodaboda, umewasaidia madereva hao kuwa na uwezo wa kutoa msaada pindi ajali zinapotokea.
Wakizungumza...