
*Kusini kuchele, Utafiti wa Miamba na Madini wahamia Mtwara
*GST kufanya tafiti madini mkakati Mtwara
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameshuhudia jaribio la urushwaji wa Ndege Nyuki (Drone) angani kwa ajili ya utafiti wa miamba na madini hususan madini ya Kinywe, Nikeli, chuma na titanium...