Thursday, 1 February 2024

DK. MWIGULU: GGML KAMPUNI KINARA INAYOKUZA MAHUSIANO MAZURI KATIKA SEKTA YA MADINI

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba (kulia), akisalimiana na Ofisa Mkuu wa Fedha wa Kampuni ya AngloGold Ashanti (AGA), Gillian Doran (kushoto) aliyemtebelea ofisini kwake wiki iliyopita. Anayefuata kushoto ni Makamu Rais wa AngloGold Ashanti -GGML anayeshughulikia miradi endelevu na...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI FEBRUARI 1,2024

  Magazeti ya leo   ...
Share:

Wednesday, 31 January 2024

WALIOPATA ELIMU YA USALAMA BARABARANI DODOMA WATOA SHUKRANI KWA AMEND, USWIS

NA MWANDISHI WETU, DODOMA SHIRIKA la AMEND Tanzania ambalo linajihusisha na utoaji wa elimu ya usalama barabarani limepongezwa na maofisa usarishaji maarufu bodaboda katika Jiji la Dodoma kwa kuwapatia elimu ya usalama barabarani masuala ya kutoa elimu ya usalama barabarani. Elimu hiyo ya usalama...
Share:

WANANCHI WAFUNGA BARBARA YA MWANZAA - SHINYANGA KUKITHIRI MATUKIO YA AJALI UGWETO , WATU WAWILI WAMEGONGWA LEO

Wakazi wa kata ya Bugweto manispaa ya Shinyanga wamelazimika kufunga barabara kuu ya Shinyanga - Mwanza baada ya leo watu wawili kugongwa na gari na kusababisha kifo cha mtu mmoja na mwingine kujeruhiwa wakidai ajali nyingi zinazotokea kwenye barabara hiyo zikisababishwa na mwendokasi unaosababishwa...
Share:

SERA ZA UCHUMI ZA RAIS SAMIA ZALETA NEEMA KWA MABENKI

* Benki kubwa za biashara zavunja rekodi ya mapato na faida * Zamwaga ajira kwa Watanzania na kulipa kodi zaidi kwa Serikali * Benki za CRDB na NMB zaendelea kuwa vinara Januari 31, 2024 Na Mwandishi Wetu - Dar es Salaam Sera nzuri za uchumi za serikali tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie...
Share:

EWURA YAENDESHA SEMINA KWA KAMATI YA BUNGE YA SHERIA NDOGO

Mkurugenzi wa Petroli EWURA, Bw. Gerald Maganga, akijibu baadhi ya hoja zilizoibuliwa na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Sheria Ndogo, wakati wa semina iliyoandaliwa na EWURA, bungeni jijini Dodoma. Ofisa Mkuu wa Uhusiano EWURA, Bw. Wilfred Mwakalosi, akiwasilisha mada kuhusu Udhibiti wa...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger