
Mwenyekiti wa taasisi ya Mtetezi wa Mama mkoa Kagera ndg Kauthari Chamani (kushoto) akikabidhi mchango wa kufanikisha safari ya Zanzibar kwa mratibu mkuu wa safari hiyo Enock Bujuli.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Wananchi wa Mkoa wa Kagera kupitia kikundi cha wakulima wa zao la Kahawa maarufu Smart...