Na Mwandishi wetu,Manyara.
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akiongozana na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam kutoka Wizara ya Afya mapema leo Disemba 4, 2023 wamewasili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara kuona...
Na John Walter-Manyara
Juhudi za kuwaokoa watu waliokwama kwenye Matope zimeendelea Vijiji vya Katesh na Gendabi wilayani Hanang mkoani Manyara baada ya Mafuriko kuyakumba maeneo hayo na kusababisha vifo vya watu 47 na wengine 85 kujeruhiwa.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga...
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT)-Kampasi ya Mwanza, imeadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa kutoa semina elekezi kwa wanafunzi.
Semina hiyo imelenga kuwajengea uwezo wanafunzi juu ya masuala mbalimbali yahusuyo ukatili wa kijinsia na namna ya kupinga vitendo hivyo.
Awali...
Waziri Wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi H. Chana akizungumza Disemba 3,2023 jijini Dodoma ,wakati akizindua Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa, yanaongozwa na kauli mbiu ya ‘’Mapambano Dhidi ya Rushwa ‘’Zingatia Maadili, Utu, Uhuru na Haki kwa Watu Wote kwa Maendeleo...
Baadhi ya washiriki wakifurahi baada ya kumaliza mbio hizo
****
Wafanyakazi wa Mgodi wa dhahabu wa Barrick Bulyanhulu, uliopo halmashauri ya wilaya ya Msalala, Mkoani Shinyanga, mwishoni mwa wiki wameshiriki mbio za zenye urefu wa kilomita tano, kumi na 21 zilizoandaliwa na mgodi huo ikiwa ni...