Sunday, 25 June 2023

RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA KITAIFA YA KUPIGA VITA MATUMIZI NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI MKOANI ARUSHA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo ya Wataalamu waliopo kwenye Banda la Maonesho la Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kuhusiana na kazi mbalimbali ambazo Mamlaka hiyo inafanya katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 25 Juni, 2023. Picha na Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkemia Mkuu wa Serikali Dkt. Fidelice Mafumiko kuhusiana na kazi ambazo Ofisi yake inafanya ikiwemo uchunguzi wa kimaabara wa vielelezo mbalimbali ikiwemo dawa za Kulevya katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 25 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo ya Wataalamu mbalimbali waliopo kwenye Mabanda ya Maonesho katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 25 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo ya Wataalamu mbalimbali waliopo kwenye Mabanda ya Maonesho katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 25 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo ya Wataalamu mbalimbali waliopo kwenye Mabanda ya Maonesho katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 25 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo ya Wataalamu mbalimbali waliopo kwenye Mabanda ya Maonesho katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 25 Juni, 2023.
Vikundi mbalimbali vya Vijana vikipita mbele ya   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan huku wakionesha ujumbe mbalimbali katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 25 Juni, 2023.
Share:

KWA DAWA HII HAKUNA MWANAUME ANAWEZA KUTEMBEA NA MKE WANGU

Ukweli ni kwamba hakuna mwanaume yoyote ambaye anapenda sehemu ambayo anachovya pia mwanaume mwingine aje achovye tena kiurahisi tu.


Sisi wanaume siku zote ni walinzi pia walezi wa wake zetu ndio maana umkitoa mke kwao wazazi wake wanakukabidhi mtoto wao kwa upendo, hivyo tunajukumu la kuwalinda hadi tutakapotoka hapa duniani. Ila jambo baya sana ni pale mwanamke wako anaposhindwa kutambua jukumu lake kwake.

Nina miaka 23 tangu nimuoe mke wangu mpendwa, ndani ya hiyo miaka nimekutana na changamoto kubwa sana kutoka kwa mke wangu pia siwezi sema kuwa nimekutana na mabaya pekee yake ila yapo mazuri nimeyapata kutoka kwake.

Amenizalia watoto watano pia amenipa ushirikiano kwa namna moja au nyingine katika maendeleo niliyonayo kwa sasa, nilimuoa nikiwa sina hata kiwanja, maisha yangu ya kiuchumi yalikuwa chini ila baada ya kumuoa nimepata maendeleo hadi tukajenga nyumba ya kuishi.

Haikutosha, pia tukajenga na nyumba ya kupangisha pamoja na kununua gari la kutembelea, hivyo naheshimu ushirikiano wake kwa sababu nilikuwa natoka kifuani mwake asubuhi na kwenda kutafuta ridhiki na yeye anabaki nyumbani akiniombea dua nzuri ya mafanikio ndio maana niliweza kupiga hatua hadi tulipo kwa sasa.


Katika ndoa kuna siri kubwa ila jinsi unavyozidi kuishi na mwenzako inafika hatua mnakuwa kama ndugu pia kutambua udhaifu wa mwenzako uko wapi.

Hivyo ndani ya hiyo miaka 20 niliweza kutambua udhaifu wa mke wangu kisha nikapata njia ya kuweza kutatua hilo tatizo ili mradi tuweze kuishi kwa amani na furaha.


Udhaifu wake wote nilivumilia pia najua naye kuwa kuna udhaifu alivumilia ila kuna vitu vingine unaweza kushindwa kuvumilia kama mwanaume haswa unapojua mke wako ana tabia ya kutoka nje ya ndoa!.


Siku moja nilishika simu yake nikakuta ujumbe kutoka kwa jamaa moja anaitwa Aidari, jina Aidari lilikuwa sio geni kwangu kwa sabubu mke wangu kabla sijamuoa aliniambia kuwa Aidari ndo ex-boyfriend wake.

Ila nilipogundua wanawasiliana na Aidari wakati tayari yeye ni mke wangu, niliumia sana, niliamua kumuita Shangazi yake na Kaka yake kisha wakamkanya kuhusu hiyo tabia.


Nilipata amani na utulivu kwa muda wa miezi sita pekee, baada ya hapo mke wangu alianza kubadilisha passwords za simu yake kila mara na kuweka simu yake mbali sana haswa nikiwa karibu na yeye.

Hiyo hali ilinipatia wasiwasi tena nikahisi mke wangu kuna mtu amempata ndio maana anafanya hivyo japo mimi sikumuonyesha kuwa kuna kitu nahisi kutoka kwake.

Nilianza kufuatilia taratibu na hatimaye nikagundua kuwa ana mahusiano na Baba mwenye nyumba japo sikuwa na ushahidi wa kutosha, hivyo ilinibidi nivumilie tu.


Siku moja jirani yangu akaniambia kuwa kuna mtu ambaye anaweza nisaidia kupata jibu sahihi kwa sababu hata yeye wenyewe hapendi kuona mke wangu analala na Baba mwenye nyumba kwa sababu Baba mwenye nyumba anaweza lala na wake zao pia.


Alinipatia namba za African Doctors ambazo ni +254 769 404965 kisha nikawasiliana nao, katika mazungumzo yetu nilimwambia kuwa sina uwezo wa kufika Kenya kwa sababu mimi nipo Tanzania japo nahitaji msaada wake maana nimechoka tabia ya mke wangu pia mke wangu mimi nampenda sana, hivyo siko tayari kuona mwanaume yoyote anachezea pale.

African Doctors alinijibu kuwa uwezo wa kunisaidia mimi bila kufika ofisini kwake, aliniuliza maswali mawili kisha nikamjibu vizuri ndipo alikubali kufanya kile ambacho nilimuomba.

Na kweli baada ya siku kadhaa ambazo Africa Doctors aliahidi kuwa mambo yatakuwa sawa, basi ilikuwa hivyo, na sasa hivi mke wangu katulia simu yake naishika bila shida yote, kwa ufupi amekuwa kama nilivyotaka awe mke wangu.

Vile African Doctors wana dawa za kufukuza mashetani, dawa ya kupata mtoto, dawa ya nguvu za kiume, dawa ya kurudisha nyota yako, dawa ya mapenzi kwa masaa 24 pekee, dawa ya kumwamisha adui na dawa ya wazinifu kukamatwa kwa siku tatu pekee.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com.


Share:

SLOTI YA BOOK OF EGYPT CHIMBO LA UTAJIRI MERIDIANBET



 Ukweli ni kwamba kila wakati Meridianbet wanajaribu kutengeneza njia rahisi kwa wateja wao kuendela kupiga mishindo ya hela kila mara, kwa kulitambua hilo wamekuja na mchezo rahisi kucheza na kushinda sloti ya Book of Egypt, moja ya michezo ya kasino ya mtandaoni bora Zaidi kwa sasa.

 

Kwa wapenzi wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, hiki ni kitu kingine kikubwa kwao, Mchezo bomba kabisa wa Book of Egypt unakupa nafasi ya kukusanya maokoto kiurahisi Zaidi.

 

Una uwezo kiasi gani kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni? Je unaelewa ubora na utamu wa michezo mingine ya The Book kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Usijali kama hauna ufahamu sana na kasino ya mtandaoni, Book of Egypt haijakutenga, na imeandaliwa vyema kukupa uzoefu bora unapoanza kucheza mchezo huu.

 

Kutoka kwa watengenezaji bora wa michezo ya kasino ya mtandaoni Expanse Studio, Book of Egypt ni nyongeza mpya na bora kwenye orodha ya michezo mingine ya kuvutia ya michezo ya sloti.

 

Sloti ya Book of Egypt, unakusafirisha mpaka zama za kale za Misri, na kukuongoza kufurahia utajiri wa historia wakati ukinufaika na faida kedekede.

 

Kila mara alama tatu za vitabu zinapoonekana kwenye safu, utapokea mizunguko 12 ya bure kwa ajili ya kufurahia ubashiri wako.  Kutakuwa na alama maalum zilizotawanyika kwenye safu wima wakati wa raundi ya bonasi, ambayo inaweza kukupa malipo makubwa. Bila kutaja nafasi ya kuongeza faida yako mara mbili kwa kutumia chaguo la Gamble/kubashiri.

 

Picha za mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ni za kustaajabisha, pamoja na muziki bomba vinakurudisha kwenye zama iliyotukukuzwa zaidi nchini Misri. Tumia nguvu kubwa za mafarao na ufurahie wakati bora wa maisha yako!

 

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.


Share:

CHIMBO LA UREMBO NI MOJA TU! SHIDUQY BEAUTY PARLOUR



Karibuni sana SHIDUQY BEAUTY PARLOUR kwa Huduma mbalimbali za Urembo

✅Kupamba Maharusi

✅Kusuka Mitindo yote

✅Simple Makeup

✅Wash and Set

✅Kuweka Dawa

✅Kupasi Nywele

✅Ku tone

✅Ku Highlight

✅Kubandika Weavings


💅

.Kubandika kucha

.Normal Gel

.Gel and Tips

.Acrylic Nails

BOTH MANICURE AND PEDICURE


HUDUMA ZA FACIAL ZIPO PIA NA TUNAUZA VIPODOZI ORIGINAL KABISA.


VYOTE HIVI UTAVIPATA KWA BEI NAFUU KABISA SAWASAWA NA BUREE🔥🔥 Pamoja na Ushauri wa Bure kabisa wa Ngozi yako🔥


Karibuni Sana

Tunapatikana Dar es salaam Kinondoni Mwanamboka ,Nyuma ya Sheli ya Puma⛽️

Tupigie

+255767430123

+255627450702

Kwa mawasiliano Zaidi.


Share:

DC TANGA AZINDUA MSIMU WA SITA WA TANGA WOMEN GALA AWAFUNDA WAJASIRIAMALI TANGA

 

MKUU wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa kushoto akizundua msimu wa sita wa Tanga Women Gala Jijini Tanga linaloandaliwa na Kampuni ya Five Brother Intertainment kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Nasoro Makau na kulia ni Mratibu wa Matukio Five Brothers  Asma Makau akifuatiwa na Naibu Meya wa Jiji la Tanga Wakili Mwanaidi Kombo
MKUU wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa kushoto akimvalisha kofia mmoja wa wajasiriamali waliofika kwenye uzinduzi huo 
Mkuu wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tanaga Women Gala
Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Brothers Intertainment ambao ndio waandaaji wa Tanga Women Gala  Nasoro Makau akizungumza wakati wa uzinduzi huo
Naibu Meya wa Jiji la Tanga (CCM) Wakili Mwanaidi Kombo akizungumza katika uzinduzi huo
Mwanzilishi wa Tanga Women Gala Latifa Shehoza akizungumza wakati wa uzinduzi huo 

Mwanzilishi wa Tanga Women Gala Latifa Shehoza  akiingia ukumbini wakati wa uzinduzi huo
Naibu Meya wa Jiji la Tanga Wakili Mwanaidi Kombo akiingia ukumbini 
Sehemu ya Wajasiriamali walioshiriki kwenye uzinduzi huo
Sehemu ya Wajasiriamali walioshiriki kwenye uzinduzi huo
Sehemu ya Wajasiriamali walioshiriki kwenye uzinduzi huo
Mkuu wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa kulia akiteta jambo na Naibu Meya wa Jiji la Tanga (CCM) Wakili Mwanaidi Kombo wakati wa uzinduzi huo

Na Mwandishi Wetu, TANGA


MKUU wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa amezindua msimu wa sita wa Tanga Women Gala huku akitumia jukwaa hilo kuwataka wajasiriamali  watumie maonesho hayo kama sehemu ya kutangaza biashara zao na sio ya kufikiria ya kuuzia tu biashara .

Mgandilwa aliyasema hayo wakati akizungumza na wajasiriamali hao kwenye uzinduzi huo ambapo alisema kwamba miongoni mwao wakifika kwenye maonesho wanafikiria kuuza mzigo walionao kwa siku hizo wakimaliza wanasema faida wamepata mwisho wa siku wanaendelea na maisha.

Tanga Women Gala ni Jukwaa la Wajasiriamali ambalo limekuwa likifanyika kila mwaka kwa lengo la kuhakikisha wanakua na kuinuka kiuchumi kwa kupanua wigo wa kuwakutanisha linaloandaliwa na Kampuni ya Five Brother Intertainment

Mkuu huyo wa wilaya aliwataka wabadilike na kuondokana na hali hiyo badala yake watumie kama jukwaa la kutafuta masoko muda wote kwa kujikita kutangaza biashata zao na sio kuuza tu wakati wa maoyesho.

Alisema kwamba ni matumaini yake kwamba katika msimu huo wa sita wa Tanga Women Wajasiriamali tunakwenda kutengeneza historia kubwa ambayo itakuwa chachu ya kuendelea kuwainua wajasiriamali mkoani humo kukua kiuchumi

“Niwashukuru Tanga Women Gala kwa kazi kubwa mnaoendelea kuifanya tunajua inawezekana wakawa hawana cha kuwalipa lakini dua za wajasiriamali ambao kila siku mnaendelea kuwainua ndio malipo yenu”alisema Mkuu huyo wa wilaya.

“Pamoja na Pongezi mimi kama DC wenu niwapongeza kwa mchango wenu kwa jamii ya wana Tanga ni mkubwa serikali yetu imetengeneza fursa nyingi ikiwemo kutoa wigo kwa wajasiriamali na wafanyabiashara kufanya biashara zao vizuri bila changamoto zozote niliona kama kiongozi wa wilaya niwapongeza niwatake muendeee kufanya hivyo hivyo siku zote”Alisema

Hata hivyo aliwataka kuendelea kupanua wigo kwa wajasiriamali ambao kimsingi hawana uwezo wa kufika kwenye maeneo yao kwa kutengeneza utararibu wa namna ya kuweza kuwafikia na kuwatambua ili kuona namna ya kuwasaidia.

“Lakini maonyesho yetu ni ya siku chache ni vema tukajikita kutengeneza masoko baada ya maonyesho sio wakati wa maonyesho ninasema hivyo kwa sababu kwenye wakati huo tunakuwa na siku tatu mpaka tano hivyo tunapaswa kutegeneza kuona mjasiriamali anafanya biashara siku zote za mwaka”Alisema DC Mgandilwa,

Awali akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mkurugenzi wa Five Bothers Intertainment Nasoro Makau alisema kwamba Tamasha hilo la Tanga Women Gala la msimu wa sita linatarajiwa kuwa la aina yake kutokana na namna walivyojipanga

Alisema kwamba wamekuja kuzindua rasmi siku pendwa uzinduzi huo ambao ni msimu wa sita mfululizo kwa umri wa kuzaliwa ni sawa na mtoto anayeanza shule Tanga huku akieleza Tanga Women Gala ilianza kwa hali ya udogo lakini sasa inakwenda kukua.

“Tunawashukuru wadau mbalimbali ikiwemo Benki ya NMB,CRDB,Amana,Stanbic, Azania,TRA,Tanga Uwasana Prism Comunication ambao mwaka jana tuliokuwa nao hivyo tunaamini msimu huu pia watatushirika mkono tushirikiane nao”Alisema

Naye kwa upande wake Naibu Meya wa Jiji la Tanga (CCM) Wakili Mwanaidi Kombo alitoa wito kwa wakina mama kuendelea kuchangamkia fursa mbalimbali zilizopo ili waweze kujikwamua kiuchumi

Mwanaidi ambaye pia ni Mrartibu wa Tawla Kanda ya kaskazini aliwataka pia kuona namna yao kufanya biashara kwa waledi ili ziwezi kuleta tija kwa maisha yetu na jamii zinazowazunguka.

“Wakati tukichangamkia fursa hizo tusisahau majukumu mengine kama mwanamke changamoto nyingi za ukatili wa kijinsia kwa watoto na wanafunzi kwa sababu sisi wakinaa nana tumejikita kutafuta fedha badala ya majukumu yetu ya ndani”Alisema

Hata hivyo aliwataka wajiepushe na mikopo isiyokuwa na tija ya kausha damu riba zake hazieleki hivyo niwaombe kwamba iwapo wanataka kukua kiuchumi waende kwenye taasisi zilizosajiliwa za kifedha kwenye mabenki.

Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JUNI 252023























Share:

Saturday, 24 June 2023

MAADHIMISHO YA SIKU YA MABAHARIA DUNIANI YAFUNGULIWA MWANZA....WAZIRI MAKAME ASISITIZA MASLAHI

Waziri wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Suleiman Makame (mwenye tai nyekundu) akisikiliza ufafanuzi wa shughuli mbalimbali zinazofanywa na mabaharia wakati alipotembela na kukagua mabanda hayo.


Na Mwandishi wetu - Malunde 1 blog
Waziri wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Suleiman Makame amezitaka taasisi zinazosimamia mabaharia hapa nchini ziweze kuboresha maslahi ya mabaharia hao ili kazi hiyo iweze kua yenye tija kama zilivyo kazi nyingine.


Waziri Makame ameyasema hayo Alhamis Juni 22, 2023 wakati akifungua maadhimisho ya siku ya mabaharia duniani yanayofanyika kitaifa jijini Mwanza akimwakilisha Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman.

"Nikubaliane na waliosema na mimi nalisema hii kwa sababu nimeiona na nimeisikia maslahi duni ya mabaharia zipo taasisi hapa ambazo zinasimamia mabaharia naomba hili mlichukue mwenyekiti amesema chungu kipo jikoni lakini lisikawie basi",amesema.


Katika hatua nyingine Waziri Makame amepongeza juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi kwa kuboresha miundombinu ya usafiri wa majini ikiwemo ujenzi wa meli mpya ya MV. Mwanza pamoja na ukarabati wa meli ya MV. Mapinduzi II.

Aidha pia Mh. Makame pia ameongeza kwa kuitaka jamii iweze kuondokana na dhana potofu ambazo zimekua zikiihusisha kazi ya baharia na uhuni kwani kazi hiyo husomewa na fani kama zilizo fani nyingine.


Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi ambae aikua akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mh. Amosi Makalla amesema serikali ya awamu ya sita imekua ikifanya shughuli mbalimbali za maendeleo katika sekta ya bahari na maziwa ambapo mwa mkoa wa mwanza serikali imetoa kiasi cha silingi bilioni 21 kwa ajili ya ujenzi wa vizimba vya samaki huku pia ikitekeleza mradi wa ujenzi wa meli mya ya MV. Mwanza ambayo imegharimu kiasi cha billion 111 na kukamilika kwa miradi hiyo kutaibua fursa ya ajira kwa watu mbalimbali hapa nchini.

Naye mjumbe wa bodi ya wakurugenzi TASAC Captain. King Chiragi amesema wao kama TASAC wanaridhika na namna serikali inashughulikia tasnia ya bahari kwani serikali imekuwa ikitunga sera ambazo zimekuwa zikilenga kuimarisha ustawi wa baharia.

Aidha amewaomba wananchi wote waweze kuwaheshimu mabaharia wote hapa nchini kwani wamekuwa wakijtoa sana katika kulinda ustawi wa jamii.

Katibu Chama cha Mabaharia Zanzibar, Ally Mzee ambaye amezungumza kwa niaba ya mabaharia, amesema kada hiyo imekuwa ikikabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa ajira za uhakika, maslahi duni, mazingira rafiki kazini hususani kwa wanawake pamoja na vyama kushindwa kuwatetea mabaharia wanapokumbana na changamoto kazini.


Maadhimisho ya siku ya mabaharia duniani yanafanyika kitaifa katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza kuanzia Juni 22-25, 2023 ambapo yataambatana na shughuli mbalimbali ikiwemo utoaji elimu usalama majini, kufanya usafi katika fukwe za Ziwa Victoria pamoja na mbio ya riadha itakayowashirikisha mabaharia yakiambatana na kauli mbiu isemayo “Miaka 50 ya Marpol, uwajibikaji unaendelea”.
Waziri wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Suleiman Makame akifuatilia ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya mabaharia duniani yaliyofanyika katika uwanja wa furahisha jijini Mwanza
Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Amina Shekilage akitoa salamu kwa mabaharia kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Amos Makala
Msimamizi mkuu wa bandari Zanzibar Sheikha Mohamed akizungumza wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya mabaharia duniani
Mjumbe wa bodi ya shirika la meli Tanzania TASAC King Chiragi akizungumza katika maadhimisho ya siku ya mabaharia duniani
Mwakilishi wa kampuni za huduma za meli ndug Anselm Namala akiendelea kupata taarifa katika mabanda ya maonyesho ya siku ya mabaharia duniani.
Waziri wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Suleiman Makame akisikiliza ufafanuzi wa shughuli mbalimbali zinazofanywa na mabaharia wakati alipotembela na kukagua mabanda hayo.
Viongozi mbalimbali wakiwa jukwaa kuu wakifuatilia ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya mabaharia duniani.
Wadau mbalimbali wakifuatilia ufunguzi wa maadhimisho ya mabaharia duniani.
Share:

MBUNGE JIMBO LA LUPEMBE AOMBA SERIKALI KUANZA UJENZI WA LAMI KUTOKA KIBENA LUPEMBE HADI MADEKE

 

Mbunge wa Jimbo la  Lupembe mkoa wa Njombe Edwin Swale ameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa barabara ya Lami kutoka Kibena Lupembe hadi Madeke ikiwa ni maagizo ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.


Swale ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia bajeti ya serikali 2023/24 ambapo amesema kufufuliwa kwa mashamba ya chai jimboni kwake kunatakiwa kwenda sambamba na kuanza kwa ujenzi wa barabara hiyo muhimu inayo unganisha Mkoa wa Njombe na Morogoro.


Amesema kama serikali haina uwezo wa kuajiri watu wote wanaingia kwenye soko la ajira ni vyema ukafanyika mpango wa kufufua viwanda kikiwemo Kiwanda cha Maziwa cha Njombe ,Kiwanda cha Olivado na kisha kuimarisha viwanda vya chai vinavyosuasua mkoani Njombe ili kutengeneza fursa za ajira kwa vijana wengi.


Swale amesema takwimu zilizopo zinaonyesha watu milioni moja huingia kwenye soko la ajira kila mwaka ili hali ilani ya chama imeahidi kutoa ajira mil 8 kila mwaka jambo ambalo linashindikana na kuishia kuajiri watu elfu 70 tu hivyo serikali ichukue hatua za lazima za kukabiliana na changamoto ya ajira kwa kufufua sekta ya viwanda.

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger