Saturday, 25 March 2023

Tazama Picha : KONGAMANO LA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA LEO SHINYANGA

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akizungumza wakati wa Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kongamano la Miaka Miwili ya Rais Samia likiongozwa na Kauli mbiu ‘Umethubutu, Unaweza, Kazi Iendelee’ limefanyika leo Jumamosi Machi 25, 2023 katika ukumbi wa NSSF Mjini Shinyanga na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, taasisi, vyama vya siasa na wananchi wa mkoa wa Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akizungumza wakati wa Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan lililofanyika leo Jumamosi Machi 25, 2023 katika ukumbi wa NSSF Mjini Shinyanga

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme (katikati) Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe.  Mboni Mhita (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mabala Mlolwa ( wa pili kushoto), Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Mkude (kulia) na Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi wakicheza muziki wakati wa Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan lililofanyika leo Jumamosi Machi 25, 2023 katika ukumbi wa NSSF Mjini Shinyanga

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mabala Mlolwa akizungumza wakati wa Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan 
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mabala Mlolwa akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme (kulia) wakati wa Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akizungumza wakati wa Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe.  Mboni Mhita akizungumza wakati wa Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Mkude akizungumza wakati wa Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi akizungumza wakati wa Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Dkt. Christina Mzava akizungumza wakati wa Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Wabunge wa Mkoa wa Shinyanga wakiwa kwenye Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Kishapu Mhe. Boniphace Butondo akifuatiwa na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi, Mbunge wa Jimbo la Msalala Mhe. Idd Kassim na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Dkt. Christina Mzava.
Kwaya ya Walimu Manispaa ya Shinyanga ikitoa burudani wakati wa Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Kwaya ya Walimu Manispaa ya Shinyanga ikitoa burudani wakati wa Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mshereheshaji (MC) Mrakibu wa Uhamiaji Lydia Angumbwike akizungumza wakati wa Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Burudani ya ngoma ikiendelea wakati wa Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Burudani ya ngoma ikiendelea wakati wa Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan likiendelea

Kongamano la Miaka Miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan likiendelea.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Share:

SDF TUMAINI JIPYA KWA VIJANA KUTOKA MAKUNDI MAALUM NA WENYE ULEMAVU

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

Huenda kiu ya watu wenye ulemavu kupata elimu juu ya vile wanavyovipenda ikawa imepata majibu baada ya Serikali kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kuja na programu inayowawezesha kupata ujuzi katika vyuo mbalimbali vya Ufundi na Marekebisho kwa Watu wenye Ulemavu.

Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) inaratibu Mfuko wa Kuendeleza Ujuzi (SDF) unaofadhiliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Benki ya Dunia (WB) ambayo yamekuwa yakiwanufaisha vijana wenye ulemavu kutoka maeneo mbalimbali kupata nafasi ya kusoma na kuendeleza ujuzi wao na baadae kuweza kuutumia kujitafutia kipato na kuachana na utegemezi

Hivi karibuni Mkurugenzi Mkuu wa TEA Bi. Bahati Geuzye alikaririwa akisema, TEA kwa kushirikiana na Benki ya Dunia imekamilisha taarifa ya ufuatiliaji wa wanufaika (Tracer Study) kwa lengo la kupima matokeo ya mafunzo ya kuendeleza ujuzi kwa wanufaika waliopata nafasi kushiriki mafunzo hayo.

Na ufuatiliaji huo ulihusisha wanufaika 3,871 kati ya wanufaika zaidi ya elfu 35,000, ulionyesha kuwa asilimia 81 ya wanufaika hao wameajiriwa au wamejiajiri ndani ya kipindi cha mwaka mmoja tangu walipopata mafunzo ya ujuzi ambapo kiasi cha Sh. Bil 13. 8 zimeishatumika ikiwa ni fedha zilizoelekezwa moja kwa moja kwa Taasisi 143 za Mafunzo ili kuwezesha mafunzo.

Chuo cha Ufundi Stadi na Marekebisho Yombo kwa watu wenye Ulemavu ni moja ya Vyuo vinavyotoa mafunzo kwa wanufaika wa Mfuko wa Kuendeleza Ujuzi (SDF), ambapo vijana wenye ulemavu takribani 93 wanaendelea kupatiwa mafunzo ya Ujuzi katika fani mbalimbali ili waweze kuwa na ujuzi ambao utawasaidia kujipatia kipato.

Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Stadi na Marekebisho Yombo kwa watu wenye Ulemavu Bi.Maria Chilambo ameipongeza Serikali kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa ufadhili walioupata kwani walitengewa zaidi ya milioni 118 kwa ajili ya kutoa elimu ya mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana 120.

Amesema, Fedha walizozipata zililenga kufundisha fani nane ambazo ni fani ya useremala, uokaji keki na mikate, uchomeleaji, umeme wa majumbani, ushonaji wa nguo, urembo, utengenezaji wa batiki pamoja na fani ya kilimo.

Aidha amesema, vijana 93 wamepata mafunzo hayo kati ya vijana 120 ambo walilengwa kunufaika kupitia mpango huo wa TEA. Alitoa rai kwa vijana kutoka makundi maalum na wenye ulemavu kujitokeza na kuchangamkia fursa zinapotangazwa ili waweze kujikwamua kimaisha

Hata hivyo amesema tutegemee kupata vijana walioiva kwa mafunzo waliyopewa chuoni hapo na hivyo kwenda kulitumikia vizuri taifa na kutarajia kupata vijana wenye kipato kuondokana na hali tegemezi walizokuwa nazo awali kwani wataenda kujiendeleza na kujiingizia kipato na kuishi maisha ya kujitegemea.

"Tutegmee kuanzisha vitu vipya kwenye maeneo tofauti tofauti kutoka kwa vijana wenye weledi kwasababu kwa miezi hii miwili na mitatu wana kitu walichotoka nacho kwahiyo wataenda kufanya shughuli zao kwa utaalamu zaidi kuliko hapo nyuma ambapo walikuwa wanafanya". Amesema

Amesema usalama wa vijana wanufaika umezingatiwa kwani wamekuwa wakifundishwa kwanza suala la usalama hasa usalama wao binafsi na mahala pa kazi kwa ajili ya kujilinda wao wenyewe, kuwalinda wengine lakini pia kulinda na zile mali ambazo wanazitumia kwa masilahi ya kwao.

Ameeleza kuwa wameshirikiana na wadau mbalimbali hasa Jeshi la Zima Moto Mkoa wa Temeke ili kuja kutoa mafunzo yanayohusiana na majanga ya moto na vitu vingine vinavyohusiana na usalama wakiwa katika maeneo ya kazi au sehemu wanazoishi kwani wamekuwa wakiwahamasisha vijana kuwa na nyezo za kuzuia hatari yoyote.

Vilevile amesema waliwasisitizia wanufaika kuchagua zile fani ambazo kulingana na ulemavu wao pia mtu anaweza akaifanya na isimuhatarishie maisha yake, kwasababu uhai wa mtu ndo waliupa kipaumbele. Na wanashukuru mradi uliruhusu wakabadilisha fani baada ya kufika chuoni.

Mratibu wa Mafunzo katika Chuo hicho ambaye pia ni Mkufunzi wa Fani yaUmeme Bi.Regina Makota amesema Mafunzo yamekuwa na manufaa makubwa kwa vijana kwasababu wameweza kuwaibua vijana wenye ulemavu kutoka kwenye mazingira hatarishi hasa kuzingatia wengi wao wametoka mikoani, ni wale vijana ambao walikuwa wanajishughulisha na masuala ya ufundi lakini ule ufahamu wa kuingia darasani walikuwa hawana.

Amesema TEA imejitahidi kwa kiasi kikubwa kujaribu kuingia kwenye halmashauri pamoja na Serikali za Mitaa kuona kuna vijana gani wapo wa aina ya ulemavu ambao wanaweza wakawapa ujuzi na maarifa ambayo wakitoka pale wanaweza kwenda kujiajiri.

Kwa upande wa Wanufaika wa Mradi huo katika Chuo hicho wamesema baada ya kupata mafunzo hayo wanategemea kwenda kuyatumia mafunzo hayo kwa kujiajiri na kuweza kujipatia kipato cha kuweza kujikimu na kuachana na hali ya utegemezi.

Nae Mwanafunzi wa Fani ya useremala Bw.Bahati Abdallah ambaye ni mlemavu wa kuongea na kusikia akizungumza kupitia alama ya ishara ameipongeza Serikali pamoja na wadau ambao wamewawezesha kupata mafunzo hayo kwani hadi sasa anamatumaini makubwa ya kuweza kujiendeleza katika kujitafutia ajira kupitia ujuzi ambao ameupata.

Hata hivyo wameiomba Serikali kuwaangalia upya kwenye suala la mitaji kwani wengi wao wamekuwa wakipata fursa ya mafunzo hayo lakini wakihitimu wanashindwa kujiendeleza kutokana na ukosefu wa mitaji ambayo ingeweza kuwasaidia katika kujikimu kiuchumi.
Share:

MERIDIANBET YASHIRIKIANA NA POLISI

Mabingwa wa michezo ya kubahatisha nchini Tanzania Meridianbet wamekuwa wakifanya jitihada za kurudisha kwenye jamii yake inayowazunguka ambapo hii leo wamefika eneo la kawe ambapo linapatikana jeshi la polisi na kuweza kutoa Reflector kwa polisi wa usalama barabarani, huku Reflector hizo zikipokelewa na mkuu wa kitengo hicho SP-Shatta OCD ndiye aliyepokea vifaa hivyo.

Meridianbet hurudisha kile kidogo wakipatacho kwenye jamii huku wakielewa umuhimu wao na mahitaji yao kila siku huku safari hii waliamua kuwamulika polisi Kawe huku wakijua kuwa vitawasaidia kwenye shughuli zao za kila siku.

Baada ya kupokea Reflector hizo ASP Rose Maira amesema; "Niwashukuru wenzetu wa Meridianbet kwa kutuletea msaada huu utakaosaidia Askari katika kutimiza majukumu yao bila uoga hata usiku kwa sababu watakua wanaonekana, katika kuelekea kilele cha wiki ya nenda kwa usalama barabarani msaada huu umekuja muda muafaka".

Mkuu wa kitengo cha Masoko na mawasiliano Meridianbet Martina Nkurlu amesema kuwa “Tulikuja wiki iliyopita hapa kutoa Reflector kwa bodaboda lakini tukaona hata Askari wetu wa usalama barabarani wana changamoto hii, leo tukaamua na wao kuwaletea msaada huu tukiamini katika juhudi zao za kulinda usalama barabarani katika Serikali hii ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania”

Meridianbet wababe wa odds kubwa na kasino mitandaoni waliwatembelea jeshi la Polisi Kawe  na kuwapa Reflector kwaajili ya matumizi yao wakiwa barabarani.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger