Monday, 20 March 2023
Sunday, 19 March 2023
SERIKALI YASAINI MKATABA WA UJENZI WA BARABARA YA UTETE-NYAMWAGE NA DARAJA LA MBAMBE WILAYANI RUFIJI
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya akiwa pamoja na Mbunge wa Jimbo la Rufiji ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Mohammed Mchengerwa wakishuhudia utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa barabara ya Utete-Nyamwage (33.7km) na daraja la Mbambe (81m) ikihusisha barabara unganishi (3km) kwa kiwango cha lami uliofanyika leo Machi 19, 2023 katika Viwanja vya Azimio Utete Rufiji mkoani Pwani.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya akiwa pamoja na Mbunge wa Jimbo la Rufiji ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Mohammed Mchengerwa wakishuhudia utiaji saini wa mikataba ya ujenzi wa barabara ya Utete-Nyamwage (33.7km) na daraja la Mbambe (81m) ikihusisha barabara unganishi (3km) kwa kiwango cha lami uliofanyika leo Machi 19, 2023 katika Viwanja vya Azimio Utete Rufiji mkoani Pwani.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya akizungumza katika hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa barabara ya Utete-Nyamwage (33.7km) na daraja la Mbambe (81m) ikihusisha barabara unganishi (3km) kwa kiwango cha lami uliofanyika leo Machi 19, 2023 katika Viwanja vya Azimio Utete Rufiji mkoani Pwani.
Mbunge wa Jimbo la Rufiji ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Mohammed Mchengerwa akizungumza katika hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa barabara ya Utete-Nyamwage (33.7km) na daraja la Mbambe (81m) ikihusisha barabara unganishi (3km) kwa kiwango cha lami uliofanyika leo Machi 19, 2023 katika Viwanja vya Azimio Utete Rufiji mkoani Pwani. 
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROAD) Mhandisi Rogatus Matavila akizungumza katika hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa barabara ya Utete-Nyamwage (33.7km) na daraja la Mbambe (81m) ikihusisha barabara unganishi (3km) kwa kiwango cha lami uliofanyika leo Machi 19, 2023 katika Viwanja vya Azimio Utete Rufiji mkoani Pwani.
Viongozi wa Ulinzi na Usalama wakiwa katika hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa barabara ya Utete-Nyamwage (33.7km) na daraja la Mbambe (81m) ikihusisha barabara unganishi (3km) kwa kiwango cha lami uliofanyika leo Machi 19, 2023 katika Viwanja vya Azimio Utete Rufiji mkoani Pwani.
Watumishi wa Wakala wa Barabara nchini (TANROAD) wakiwa katika hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa barabara ya Utete-Nyamwage (33.7km) na daraja la Mbambe (81m) ikihusisha barabara unganishi (3km) kwa kiwango cha lami uliofanyika leo Machi 19, 2023 katika Viwanja vya Azimio Utete Rufiji mkoani Pwani.
Baadhi ya wahandisi wakiwa katika hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa barabara ya Utete-Nyamwage (33.7km) na daraja la Mbambe (81m) ikihusisha barabara unganishi (3km) kwa kiwango cha lami uliofanyika leo Machi 19, 2023 katika Viwanja vya Azimio Utete Rufiji mkoani Pwani.CPB YATEKELEZA KWA VITENDO JUHUDI ZA RAIS SAMIA KUKUZA SEKTA YA KILIMO
Meneja wa Nyanda za Juu Kusini Dkt. Samweli Jasper akionesha shehena ya unga unaosagwa katika kiwanda chao na kuhifadhiwa vizuri.JISHINDIE TZS 800,000/= KASINO YA MTANDAONI
Meridianbet wakali wa Kasino ya mtandaoni wenye sloti rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roullete wanagawa mpunga wa kutosha mwezi huu, usipange kukosa. Michezo ya sloti inayohusika kutoa mtonyo huu ni Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits.
Jinsi ya Kushiriki kwenye Promosheni hii
Ni rahisi sana wala huhitaji kutumia nguvu kubwa, ni kama kumsukuma mlevi vile hata kwa kutumia kidole anasogea tu. Cha kufanya zingatia yafuatayo ili kuwa moja ya wachezaji wazuri wa Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet:
• Promosheni ya mashindano ya Expanse - itafanyika katika kipindi cha kuanzia Machi 17 mpaka Machi 22-2023.
•Promosheni hii itahusisha wachezaji waliosajiliwa kwenye APP ya simu na tovuti ya www.meridianbet.co.tz
•Wakati wa ofa, wachezaji hushindana kulingana na idadi ya mizunguko inayochezwa kwenye michezo ya watoa huduma ya Expanse kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Michezo ambayo inahusika wakati wa mashindano ni: Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits.
•Orodha ya nafasi iko ndani ya mchezo na itaonekana saa 24 baada ya mwisho wa mashindano.
• Kulingana na orodha ya mwisho ya nafasi, wachezaji 5 walioshika nafasi za juu watatunukiwa bonasi za kasino ya mtandaoni katika viwango vifuatavyo:
•1. Nafasi ya Kwanza 250,000 TZS
•2. Nafasi ya Pili 200,000 TZS
•3. Nafasi ya Tatu 150,000 TZS
•4. Nafasi ya nne 100,000 TZS
•5. Nafasi ya Tano 100,000 TZS
• Ili bonasi ya kasino ya mtandaoni iliyokabidhiwa ihamishwe kwa akaunti ya pesa ya mchezaji, ni muhimu kuiwekeza mara 30 kwenye mchezo wowote wa yanayopangwa wa mtoa huduma wa Expanse. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni 500,000TZS.
•Ofa hii ni halali kwa kila mtumiaji, anwani ya IP na kaya.
WASHIRIKI KONGAMANO LA GESI WAPONGEZA UWEKEZAJI ORYX GAS

Matukio mbalimbali katika picha baada ya washiriki wa Kongamano la Kimataifa la Gesi 2023 kutembelea Kampuni ya Oryx Gas iliyoko Kigamboni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuona shughuli zinazofanywa na kampuni hiyo katika kuendeleza sekta ya gesi .







