Sunday, 5 February 2023

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU FEBRUARI 6,2023








Share:

WATU HAWA WANAWEZA KUKUSAIDIA KIBIASHARA NA KUFANIKIWA SANA!


Ukweli ni kwamba kwa miaka mingi nimekuwa nikisikia watu mbalimbali wakisema baadhi ya biashara zimekuwa na faida zaidi na nyingine faida yake ni ndogo sana, hivyo kuzifanya ni kama kupoteza muda tu.


Nami nilikuwa nimeshafanya biashara nyingi kama kuuza simu, kusafirisha mazao mikoani, kununua na kuuza mifungo na nyingine lakini sikuona faida yake na mtaji wangu ulipokuwa unakaribia kuisha nikaona nipumzike nyumbani kwanza ili kujipanga upya.

Basi kipindi nipo nyumbani nilikuwa nasoma magazeti mbalimbali ndipo nilipokutana namba ya AfricanDoctos ambao sitochoka kuwashukuru kwa usaidizi waliyonipatia maisha mwangu.

Walinipatia maelekezo nami nikafanya jinsi walivyoniambia, nilikaa nyumbani tena kwa wiki kadhaa ndipo nikapata wazo nianze biashara ya kuuza vyombo vya majumbani.

Baadhi ya majirani waliniona kama mtu niliyeyumba kimaisha kwani nilikuwa mtu wa kufanya biashara kubwa kama kuuza simu na kusafiri maeneo mengi ya nchi.

Biashara yangu ya kuuza vyombo nilianza pekee yangu lakini baada ya miezi kadhaa wateja waliongezeka sana hivyo ikanibidi nitafute vijana watatu wa kunisaidia kazi hiyo.

Kwa sasa imefikia hatua nimeweza kufungua maduka matatu makubwa ya kuuza vyombo kwa bei ya jumla tu, biashara yangu huu imeweza kubadilisha sana maisha yangu licha ya hapo mwanzo kuonekana kama haitoweza kunisaidia.

Sio tu kuweza kupanua mtaji wangu wa biashara bali hata kuwa na maendeleo katika maisha yangu ya kawaida, biashara hii imeniwezesha kujenga nyumba yangu ya kwanza ambayo naishi sasa.

Binafsi nawashukuru sana AfricanDoctors kwa kuweza kunisidia kibiashara, na sio mimi pekee yangu bali wamekuwa wakifanya hivyo kwa watu wengi katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Wasiliana na AfricanDoctors kwa namba +254719153099.

Mwisho.
Share:

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI YATEMBELEA BODI YA MFUKO WA BARABARA


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb.) akipokea matangazo ya Mfumo wa Kielektroniki ya Ufuatiliaji wa Hali ya Barabara kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara Octavian Mshiu (Kulia), wanaoshuhudia ni Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Ujenzi) Balozi Mhandisi Aisha Amour pamoja na Meneja wa Mfuko wa Barabara Eliud Nyauhenga (Kushoto).


Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Ujenzi) Balozi Mhandisi Aisha Amour, akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali wakati kamati hiyo ilipotembelea Ofisi za Bodi ya Mfuko wa Barabara jijini Dodoma kwa ajili ya kujifunza utendaji kazi wa Bodi hiyo, kushoto kwake ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb.) na kulia kwake ni Meneja wa Mfuko wa Barabara Eliud Nyauhenga.


Meneja wa Mfuko wa Barabara Eliud Nyauhenga, akifanua jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali wakati kamati hiyo ilipotembelea Ofisi za Bodi ya Mfuko wa Barabara jijini Dodoma kwa ajili ya kujifunza utendaji kazi wa Bodi hiyo.


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb.) akielekeza jambo wakati kamati hiyo ilipotembelea Ofisi za Bodi ya Mfuko wa Barabara jijini Dodoma kwa ajili ya kujifunza utendaji kazi wa Bodi hiyo, kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara Octavian Mshiu.


Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mhe. Anton Mwantona (Mb.) akiuliza swali wakati kamati hiyo ilipotembelea Ofisi za Bodi ya Mfuko wa Barabara jijini Dodoma kwa ajili ya kujifunza utendaji kazi wa Bodi hiyo.

Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI FEBRUARI 5,2023




Share:

Saturday, 4 February 2023

KATAMBI ASISITIZA UMUHIMU WA USHIRIKIANO NA MASHAURIANO KWA VYAMA VYA WAFANYAKAZI

Naibu Waziri,Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira ,Vijana na Wenye Ulemavu Patrobas Katambi ,akizungumza wakati wa hafla ya kuapisha viongozi wa Chama Cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU),kilichofanyika jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU), Dkt. Paul Loisulie,akizungumza wakati wa hafla ya kuapisha viongozi wa Chama hicho kilichofanyika jijini Dodoma.

Rais wa Chama cha Wafanyakazi Nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya,,akizungumza wakati wa hafla ya kuapisha viongozi wa Chama Cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU),kilichofanyika jijini Dodoma.


Sehemu ya Viongozi wakimsikiliza Naibu Waziri,Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira ,Vijana na Wenye Ulemavu Patrobas Katambi (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kuapisha viongozi wa Chama Cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU),kilichofanyika jijini Dodoma.


Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU),Dkt. Paul Loisulie,akiapishwa kuwa Kiongozi wa Chama hicho hafla iliyofanyika jijini Dodoma.


Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU),Dkt. Paul Loisulie,aakisaini nyaraka mara baada ya kuapishwa kuwa Kiongozi wa Chama hicho hafla iliyofanyika jijini Dodoma.


Viongozi mbalimbali wa Chama Cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU),wakiapishwa kuwa Viongozi wa Chama hicho hafla iliyofanyika jijini Dodoma.


Naibu Waziri,Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira ,Vijana na Wenye Ulemavu Patrobas Katambi ,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kushuhudia uapisho wa viongozi wa Chama Cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU),kilichofanyika jijini Dodoma.

................................

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema serikali imekuwa ikishauriana na kushirikiana na vyama vya wafanyakazi hali inayosaidia kutatua changamoto zao kwa njia rafiki.

Akizungumza Februari 3, mwaka huu katika hafla ya kuapishwa viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU) jijini Dodoma, Mhe. Katambi amesema vyama hivyo vimepiga hatua kubwa kwa kujadiliana na serikali kidiplomasia katika kutatua changamoto zinazowakabili.

Amebainisha kuwa kutokana na ushirikiano na mashauriano hayo, serikali chini ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imekuwa shughulikia hoja zao kwa wakati ikiwamo suala la nyongeza ya mshahara.

“Mambo yaliyofanywa na Rais kwenu yapo mengi yakupongezwa kuna suala la nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23 kwa watumishi wa umma na sekta binafsi tumekuja pia tumeweka kima cha chini cha mshahara ambacho tayari kimetangazwa,”amesema.
Aidha, amepongeza chama hicho ni chachu ya maendeleo na amani ndani ya taasisi za elimu ya juu nchini.
Naye, Mwenyekiti wa THTU taifa, Dkt.Paul Loisulie, amemshukuru Rais Samia kwa usikivu na utendaji wake na kuahidi kuwa chama hicho kitaendelea kuunga mkono jitihada zake za kuboresho maisha ya watanzania.
Share:

YANGA YAENDELEA KUUSOGELEA UBINGWA NBCPL, YAICHAPA NAMUNGO FC 2-0



*********************

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

KLABU ya Yanga imefanikiwa kuichapa Namungo Fc kwa mabao 2-0, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Yanga Sc imefanikiwa kuchukua pointi tatu muhimu na kufanikiwa kujikusanyia jumla ya Pointi 59 na kuwa kileleni kwa tofauti ya pointi sita na ambaye anamfuate nyuma akiwa na pointi 53.

Mabao ya Yanga yamefungwa na Dikson Job kipindi cha kwanza na kuwapeleka mapumziko wakiwa mbele kwa 1-0 na bao la pili limefungwa na nyota kutoka Burkanafaso Aziz Ki mnamo dakika ya 50.
Share:

KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO SHINYANGA MJINI WAMEBATIZA WATU 17 AMBAO WAMEMKIRI YESU KRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI WAO

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akibatiza watu 17 ambao wamemkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwakozi wao, kwa ubatizo wa maji mengi, Ubatizo umefanyika leo Jumamosi Februari 4, 2023.

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akibatiza watu 17 ambao wamemkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwakozi wao, kwa ubatizo wa maji mengi.

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akiendelea na ubatizo wa maji mengi.

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akiendelea na ubatizo wa maji mengi.

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akiendelea na ubatizo wa maji mengi.

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akiendelea na ubatizo wa maji mengi.

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akiendelea na ubatizo wa maji mengi.

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akiendelea na ubatizo wa maji mengi.

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akiendelea na ubatizo wa maji mengi.

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akiendelea na ubatizo wa maji mengi.

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akiendelea na ubatizo wa maji mengi.

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akiendelea na ubatizo wa maji mengi.

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akiendelea na ubatizo wa maji mengi.

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akiendelea na ubatizo wa maji mengi.

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akiendelea na ubatizo wa maji mengi.

Ubatizo

Sharti la Kuingia katika Ushirika—“Kristo ameufanya ubatizo
kuwa ishara ya kuingia katika ufalme wake wa kiroho.

kuwa sharti bayana linalopasa kutimizwa na wote wanaotaka
kutambuliwa kuwa wako chini ya mamlaka ya Baba, Mwana na
Roho Mtakatifu. ...

“Ubatizo ni tendo nyeti kabisa la kuukataa ulimwengu. Wale
waliobatizwa katika jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu,
mwanzoni kabisa mwa maisha yao ya Kikristo hutangaza hadharani kwamba wameacha kumtumikia Shetani na wamekuwa sehemu ya ukoo wa kifalme.
 
 watoto wa mfalme wa mbinguni. Wamelitii agizo lisemalo: ‘Tokeni kati yao, mkatengwe nao, ... msiguse kitu kilicho
kichafu,’ nao hutimiziwa ahadi isemayo ‘Nami nitawakaribisha. Nitakuwa Baba kwenu, nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike, asema Bwana Mwenyezi.’ 2 Wakorintho 6:17,18.”

Ubatizo ni njia ya kusimikwa kanisani. Kimsingi ni ahadi
ya kuingia katika Agano la Kristo linalookoa na hauna budi
kuchukuliwa kama ukaribisho nyeti, lakini wa furaha katika familia ya Mungu.

Aina ya Ubatizo—Kanisa linaamini ubatizo wa kuzamishwa
na huwapokea katika ushirika wale waliobatizwa kwa njia hiyo tu. 
 
(Tazama sura ya 14, “Imani za Msingi za Waadventista wa Sabato.”) Wale wanaokiri hali yao ya kupotea kama wenye dhambi, wakatubu dhambi zao na kuongoka kwa dhati baada ya kufundishwa vyema, wanaweza kukubaliwa kama wataridhia wa ubatizo na ushirika wa Kanisa.

Na Marco Maduhu (SDA) Shinyanga Mjini.

Share:

MAJINA YA WATU 17 WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA TANGA YATAJWA



Majina ya watu 14 wa familia moja waliofariki katika ajali iliyotokea jana Ijumaa usiku wilayani Korogwe mkoani Tanga,Tanzania yametajwa.



Ajali hiyo iliyotokea usiku wa kuamkia leo Korogwe imesababisha vifo vya watu 17 wakiwemo ndugu hao wa familia moja na kujeruhi 12.


Taarifa iliyotolewa na Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Korogwe, Salma Sued na kunukuliwa na Mwananchi Digital imetaja ndugu waliofariki ni Atanasi Rajabu Mrema, Nestory Atanasi, Augustino Atanasi, Kenned Mrema na Godwin Mrema.

Wengine ni Yusuph Saimon, Zawadi Mrema, Elizabeth Mrema, Julieth Mrema, Suzana, Rozina A Lamosa, Evelina Cosmas Mrema na watoto wawili (mtoto wa binamu na mtoto wa Julieth).



Rais Samia Suluhu ameeleza kusikitishwa na ajali ya gari iliyosababisha vifo vya watu 17 mkoani Tanga.


Taarifa zinaeleza kuwa ajali hiyo imehusisha gari aina ya Mitsubishi Fuso na Coaster iliyokuwa imebeba mwili wa marehemu na abiria 26 ikitokea Dar es Salaam kwenda Moshi kwenye mazishi.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger