Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga (kulia) Dk. Yahaya Nawanda akimkabidhi vitendea kazi Mkuu wa wilaya mpya wa Kahama Mboni Mhita mara baada ya kumaliza kumuapisha.
Uapisho wa Mkuu wa wilaya ya Kahama Mboni Mhita.
Na Marco Maduhu, SHINYANGA
KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk. Yahaya Nawanda, amewapa...
Wednesday, 1 February 2023
MAADHIMISHO WIKI YA SHERIA YAFUNGWA SHINYANGA....JAJI KILATI ATAKA USULUHISHI, "TUACHE KUTUNISHIANA MISULI MAHAKAMANI"
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga, Athumani Matuma Kilati akizungumza wakati wa Kilele cha madhimisho ya Wiki ya Sheria katika Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Februari 1,2023 katika Viwanja vya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga.
Na Halima Khoya ...
DHAMANA ZA ZABUNI NA UTEKELEZAJI WA MIKATABA

***************************
Na Zawadi Msalla- PPRA
Kuna msemo usemao mipango siyo matumizi, na sababu kubwa ya watu kusema maneno hayo ni kutokana na vihatarishi vinavyoweza kujitokeza katikati ya mpango ulio uweka hivyo kupelekea mpango huo kutokutimia au kuchelewa kutimia.
Vihatarishi katika...
MKUU WA WILAYA MPYA KAHAMA MBONI MHITA AAPISHWA

Mkuu wa wilaya mpya ya Kahama mkoani Shinyanga Mboni Mhita akila kiapo leo Februari 1, 2023 kuitumikia nafasi hiyo mara baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuwa Mkuu wa wilaya ya Kahama kuchukua nafasi ya aliyekuwa Mkuu wa wilaya hiyo Festo Kiswaga.
Mkuu...
TFS HAIJAZUIA VIBALI VYA KUKAMILISHA MIRADI YA KIMKAKATI YA KUPELEKA UMEME VIJIJINI- NAIBU WAZIRI MASANJA

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akijibu swali la Mbunge wa Iringa Mjini, Mhe. Jesca Msambatavangu aliyetaka kujua mikakati ya Serikali ya kutochelewesha vibali vya kuruhusu umeme kupita kwenye hifadhi za misitu ili kuwahisha usambazaji wa umeme vijijini Bungeni jijini Dodoma...