Rais wa Bunge la Afrika (Pan - African Parliament – PAP) Mhe. Chief Fortune Charumbira akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika leo Jumatatu Oktoba 31,2022 katika Makao Makuu ya Bunge la Afrika, Midrand Afrika Kusini. Mkutano huo pia umehudhuriwa na...