Monday, 6 June 2022

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNI 7,2022

Magazetini leo Jumanne June 7,2022 ...
Share:

MISA - TANZANIA YAENDELEA KUWANOA WAANDISHI WA HABARI WA REDIO ZA JAMII KUANDAA VIPINDI VYENYE MRENGO WA KIJINSIA

Meneja wa Mradi kutoka Misa Tanzania Bi.Neema Kasubiro akifafanua jambo kwa washiriki Mwasilisha mada mwandishi mkongwe Abubakar Famau. Mwasilisha mada mwandishi mkongwe Abubakar Famau. Mtayarishaji vpindi Edward Lucas kutoka kituo cha redio Mazingira akielezea mafanikio na changamoto katika...
Share:

Hureeeeeee!!! SERENGETI GIRLS YAFUZU KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA KWANZA

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake U-17 (Serengeti Girls) imefanikiwa kufuzu Kombe la Dunia baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Cameroon mchezo uliochezwa jioni ya leo kwenye uwanja wa Amaan. Bao pekee la Serengeti Girls limefungwa na Neema Paul dakika 47 na kuifanya Tanzania itinge Kombe...
Share:

MKE WANGU KANIAMBIA SIRI YA KUSHANGAZA AJABU!

...
Share:

Sunday, 5 June 2022

BARRICK BULYANHULU YAENDELEA KUFANYA UWEKEZAJI MKUBWA KATIKA HUDUMA ZA KIJAMII MSALALA ….YATENGA BILIONI 1.9 KUFANIKISHA MIRADI YA JAMII 2022

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu Cheick Sangare (Kulia) akibadilishana nyaraka za mkataba wa makubaliano na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Msalala,Mhe. Mibako Mabubu, ambapo mgodi huo umetenga shilingi bilioni 1.9 kwa ajili ya utekelezaji miradi ya kijamii kwenye halmashauri hiyo katika kipindi...
Share:

'NYUMBA ZA IBADA,MAENEO YA STAREHE KINARA KWA KELELE'-NEMC

MENEJA wa Uzingatiaji wa Sheria na Ufuatiliaji kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira (NEMC),Ndimbumi Mboneke,akizungumza wakati wa warsha ya Maofisa Mazingira wa Mikoa na Wilaya jijini Dodoma. ........................... Na Mwandishi Wetu_DODOMA MENEJA wa Uzingatiaji wa Sheria na Ufuatiliaji...
Share:

TASAF IMEDHAMIRIA KUMPELEKA MWANANCHI WA KAWAIDA KATIKA UCHUMI WA KATI - Mhe. Londo

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Dennis Londo (Mb) akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Ilongero, mkoani Singida wakati wa ziara ya kikazi ya Kamati hiyo iliyolenga kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF) katika kijiji hicho. Waziri...
Share:

SAGINI AMTAKA MKANDARASI KUMALIZA UJENZI WA JENGO HARAKA NA KWAMBA WIZARA HAIRIDHISHWI NA KASI YA UJENZI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Uhamiaji Mtwara,tarehe 4 Juni 2022, ikiwa ni sehemu ya ziara yake Mkoani Mtwara.Katika ziara hiyo ameambatana na Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji, Dkt Anna Makakala. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani...
Share:

Saturday, 4 June 2022

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JUNI 5,2022

...
Share:

Friday, 3 June 2022

ANAYETAKA BANGI IHALALISHWE SASA ANAGOMBA URAIS

Mgombea wa nafasi ya Urais nchini Kenya kea tiketi ya Chama cha Roots George Wajackoyah ** Tume ya uchaguzi nchini Kenya IEBC imepitisha jina la George Wajackoyah kuwania Urais wa nchi hiyo baada ya kumzuiwa siku kadhaa zilizopita kutokana na kutokidhi vigezo Mwanasiasa huyo kutoka chama cha Roots...
Share:

NESI AKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA KITANDANI KWAKE

Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), Gerald Musabila ** Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), Gerald Musabila amesema, mamlaka hiyo imemkamata nesi msaidizi wa zahanati ya Kariakoo, Salum Shaban...
Share:

JINSI YA KUONGEZA MAUZO KATIKA BIASHARA YAKO

...
Share:

MKE AMKATA MMEWE SEHEMU ZA SIRI KWA WEMBE

 Picha haihusiani na habari hapa chini **** Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia Mwanamke mmoja ajulikanaye kwa jina la Hellen Mchahuru (40) kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumkata na wembe sehemu za siri (Korodani ya kushoto) mumewe Vintan Luhiva (42). Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma...
Share:

Thursday, 2 June 2022

SERIKALI KUANDAA KANUNI ZA UDHIBITI WA BEI YA DAWA NA VIFAA TIBA

******************** Na WAF, Bungeni, Dodoma. Serikali ipo mbioni kuandaa kuani za kudhibiti bei za dawa nchini na tayari rasimu ya kanuni hizo zimeshawasilishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt. Godwin Mollel alipokuwa akijibu swali lilioulizwa...
Share:

TANROADS YAFUNGA MASHINE ZA KUHESABU IDADI YA MAGARI KWENYE BARABARA KUU NA MIJINI

Meneja wa Mfumo wa Usimamizi wa Rasirimali za Barabara TANROADS, Mhandisi Mussa George akikagua Mashine ya kuhesabu idadi ya magari barabarani (Inductive Loop Vehicle Counters) mara baada ya kukifunga katika barabara ya Morocco-Mwenge Jijini Dar es salaam. Meneja wa Mfumo wa Usimamizi wa Rasirimali...
Share:

TISA WAKAMATWA WAKISAFIRISHA VIUNGO VYA BINADAMU KIGOMA..KUNA MGUU NA MBAVU ZA MTU

  Vifaa vya Uganga walivyokamatwa navyo watu waliokutwa na viungo vya binadamu Na Fadhili Abdallah - Malunde 1 blog Kigoma POLISI mkoani Kigoma imewatia mbaroni watu tisa wakituhumiwa kujihusisha na usafirishaji na uuzaji wa viungo vinavyohisiwa kuwa ni sehemu ya mwili wa binadamu huku ikielezwa...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger