Nairobi Expressway
Katibu Mkuu wa Uchukuzi nchini Kenya, Paul Mwangi Maringa, amesema kwamba madereva nchini humo wamekuwa wakikataa kulipia tozo mara wanapotumia barabara ya juu (Nairobi Expressway) kwa madai ya kwamba hawana pesa za kutosha na wengine wakidai hawana kabisa.
Madereva hao wamekuwa...
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Fyandomo, akizungumza katika semina ya wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) ambapo aliwasihi kujiunga na kujiwekea akiba na NSSF.
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Mtwara, Mhe. Agnes Hokororo, akiwahimiza vijana kuelekeza fikra zao...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimpa Tuzo Msanii wa Muziki wa Hiphop nchini Bw. Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ya kuthamini mchango wake katika Sanaa na kuzalisha ajira kabla ya kuzindua kitabu cha msanii huyo chenye jina la Muziki na Maisha from the Street katika Tamasha...