Tuesday, 31 May 2022

KIUWASA MSHINDI WA KANDA MAJI CUP

Afisa elimu taaluma mkoa Kigoma, David Mwamalasi (katikati mwenye suti) ambaye alimwakilisha Mkuu wa mkoa Kigoma Thobias Andengenye akikagua na kusalimiana na wachezaji wa timu ya KIUAWASA ambao waliibuka mabingwa wa kanda wa maji Cup. Afisa elimu taaluma mkoa Kigoma, David Mwamalasi (katikati mwenye...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE MEI 31,2022

Magazetini leo Jumanne May 31 2022 ...
Share:

MAMA MZAZI ASIMULIA MKASA MZIMA CHANZO BINTI YAKE KUUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA MMEWE JIJINI MWANZA

Picha ya Marehemu Swalha akiwa na mume wake Mama mzazi wa mwanamke aliyefahamika kwa jina la Swalha ambaye ameuawa kwa kupigwa risasi saba kichwani na mume wake kwa sababu ya wivu wa mapenzi amesimulia mkasa mzima kilichopelekea kifo cha mwanaye. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo huko Jijini...
Share:

Monday, 30 May 2022

SHABIKI KINDAKINDAKI WA YANGA AFARIKI KWA FURAHA AKISHANGILIA USHINDI WALIVYOIBUTUA SIMBA SC

Feisal Salim ‘Fei Toto’ akishangilia bao alilofunga dhidi ya Simba SC Kikosi cha Yanga kilichoanza dhidi ya Simba SC katika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azama Sports  *** NI VILIO na Simanzi vikitawala nyumbani kwa James Mhamba mwenye umri wa miaka zaidi ya Sitini ambaye alikuwa...
Share:

RAIS SAMIA ALIANDIKIA BARUA BUNGE LA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha Tuzo ya Babacar Ndiaye kwa mwaka 2022 (Babacar Ndiaye Trophy 2022) kutokana na mafanikio kwenye Ujenzi wa Barabara, mara baada ya kukabidhiwa Tuzo hiyo na Makamu wa Rais wa Sekta Binafsi, Miundombinu na Viwanda katika Benki...
Share:

WAPENZI WALIOANZA UCHUMBA TANGU MWAKA 1956 WAFUNGA NDOA UZEENI 2022

Alex na Jane wakiwa na watoto wao watano  ** Alex mwenye umri wa miaka 91 na Jane Hamilton mwenye miaka 89 kutokea nchini Uingereza wamefunga ndoa baada ya kudumu kwenye mahusiano kwa miaka 60 na kufanikiwa kupata watoto watano. Alex na Jane walikutana mwaka 1956, ambapo kila mmoja alikuwa...
Share:

BENKI YA EXIM YAKABIDHI MSAADA WA MADAWATI 100 SHINYANGA

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi Sophia Mjema (Kushoto), Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Bw Elias Ramadhani Masumbuko (Katikati) na Mkuu wa Matawi ya Benki ya Exim Bi. Agnes Kaganda (Kulia) wakiwa wameketi kwenye moja ya madawati 100 yaliyotolewa na benki ya Exim Tanzania ikiwa ni sehemu ya jitihada...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU MEI 30, 2022

Magazeti ya leo Jumatatu May 30 2022 ...
Share:

Sunday, 29 May 2022

BENARD MEMBE AREJEA CCM , AJITANGAZA MBUNGE WA CHINI CHINI....NAPE NNAUYE AELEZA VILE WANANCHI WALIVYOCHUKIA

ALIYEKUWA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe amerudi rasmi kwenye Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mheshimiwa Membe amerejea leo na kukabidhiwa kadi ya chama hicho katika mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Mtama,...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger